Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 1,109

Category: Habari za Nyumbani

BMW na Toyota kuunda nishati mbadala

Posted on: December 2, 2011December 2, 2011 - jomushi
BMW na Toyota kuunda nishati mbadala

Kampuni mbili kubwa duniani za kuunda magari, zimeamua kushirikiana kiufundi, na kutengeneza magari ambayo hayatachafua sana mazingira. Toyota na BMW walitangaza ushirikiano huo wao mpya…

Continue Reading....

Mgambia atarajiwa kumrithi Ocampo ICC?

Posted on: December 2, 2011December 2, 2011 - jomushi
Mgambia atarajiwa kumrithi Ocampo ICC?

Fatou Bensouda anatarajiwa kutajwa kuwa mwendesha Mashtaka mkuu mpya wa Mahakama ya kimataifa ya ICC. Wakili huyo mwenye umri wa miaka 50 kutoka Gambia ni…

Continue Reading....

Maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru

Posted on: December 1, 2011December 1, 2011 - jomushi
Maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru

Rais Kikwete akipokea mwenge wa uhuru kutoka kwa kiongozi wa mbio hizo mwaka huu jijini Dar es Salaam jana. Rais Jakaya Kikwete akihutubia katika maadhimisho…

Continue Reading....

Wizara ya Fedha na Maonyesho ya Maadhimisho Miaka 50 ya Uhuru

Posted on: December 1, 2011December 1, 2011 - jomushi
Wizara ya Fedha na Maonyesho ya Maadhimisho Miaka 50 ya Uhuru

*Katibu Mkuu Kiongozi atembelea Banda la Wizara ya Fedha leo

Continue Reading....

‘Watumishi umma wala rushwa ni watumwa’

Posted on: December 1, 2011December 1, 2011 - admin
Post Tags: rushwa, tanzania, thehabari

WATUMISHU wa umma wanaokumbatia rushwa wamefananishwa na watumwa wanaoabudu wenye mali. “Mtumishi wa umma mla rushwa ni mtumwa anayeabudu wenye mali na kamwe hawezi kuwa…

Continue Reading....

TBS yataja sababu za kuenea bidhaa bandia

Posted on: December 1, 2011December 1, 2011 - jomushi
TBS yataja sababu za kuenea bidhaa bandia

Na Mwandishi Wetu SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limesema kuenea kwa bidhaa duni na bandia nchini husababishwa na hali ya kupanda kwa bei za bidhaa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari