Dar na Arusha VYAMA vya CCM na Chadema vimetangaza rasmi vita ya kuwania Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki, mkoani Arusha huku vikianika majina ya makada…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Matukio Sherehe ya Siku ya Mwanamke Dar!
Kuona picha zaidi za tukio hili; BOFYA http://michuzi-matukio.blogspot.com Picha zote kwa Hisani ya Blog ya Mtaa kwa Mtaa.
Continue Reading....Taa hizi ni mapambo bandia ya Jiji la Dar es Salaam?
Jamani hizi taa za barabarani kila uchao zinatengenezwa hasa za katikati ya Jiji la Dar es Salaam, lakini cha ajabu haziwaki nyakati za usiku maeneo…
Continue Reading....Breaking Newzzz! Madaktari kurudi kwenye mgomo
TAARIFA ambazo mtandao huu umezipata muda si mrefu ni kwamba kikao cha majadiliano cha madaktari kilichokuwa kikifanyika leo Ukumbi wa Water Front (NSSF) kimemalizika na…
Continue Reading....Waziri Nundu aikoromea TAZARA kuhusu mishahara
Na Magreth Kinabo-MAELEZO SERIKALI imeiagiza Menejimenti ya TAZARA kuhakikisha mishahara ya wafanyakazi wake inalipwa haraka, ikiwa ni pamoja na kujenga utaratibu wa kutatua matatizo yanapojitokedha…
Continue Reading....Rais Kikwete amteua Naibu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dk. Longinus Kyaruzi Rutasitara kuwa Naibu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango (MARCO). Taarifa iliyotolewa…
Continue Reading....