Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 1,025

Category: Habari za Nyumbani

Mchungaji ataka Tanzania iombewe

Posted on: March 6, 2012 - jomushi
Mchungaji ataka Tanzania iombewe

WATANZANIA wametakiwa kuiombea nchi yao ili iweze kudumu kuwa nchi ya amani na iendelee kustawi kiuchumi. Wito huo umetolewa Machi 4, 2012 na Mchungaji Tumaini…

Continue Reading....

Uteuzi wa Juma Mgoo kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu TFS

Posted on: March 6, 2012 - jomushi
Uteuzi wa Juma Mgoo kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu TFS

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige amemteua Juma Shabani Mgoo (51) kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (Chief Executive Officer) wa Wakala wa Huduma za Misitu…

Continue Reading....

Jane Mponzi kuzikwa leo Iringa

Posted on: March 6, 2012 - jomushi
Jane Mponzi kuzikwa leo Iringa

FAMILIA ya Gabriel Mponzi wa Oysterbay, Jijini Dar es Salaam pamoja na ndugu jamaa na marafiki wanatarajia kuupumzisha mwili wa marehemu Jane Mponzi leo mjini…

Continue Reading....

Serikali ivisaidie vituo vya wanafunzi wenye ulemavu shule za msingi

Posted on: March 4, 2012 - jomushi
Serikali ivisaidie vituo vya wanafunzi wenye ulemavu shule za msingi

Na Joachim Mushi, dev.kisakuzi.com-Arumeru BAADHI ya Walimu Waratibu wa Vitengo vya Wanafunzi Walemavu vilivyopo katika shule za msingi Wilaya ya Arumeru wameiomba Serikali kuvisaidia vituo…

Continue Reading....

JK awasili Kilimanjaro kwa ziara ya siku 3

Posted on: March 4, 2012 - jomushi
JK awasili Kilimanjaro kwa ziara ya siku 3

Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mjini Moshi Machi 4, 2012 tayari kuanza ziara ya kikazi ya…

Continue Reading....

Wiki ya Jinsia EAC kuanza Jumatatu Arusha

Posted on: March 4, 2012 - jomushi
Wiki ya Jinsia EAC kuanza Jumatatu Arusha

Na Nicodemus Ikonko, EANA SEKRETARIETI ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa kushirikiana na taasisi tatu tofauti imeaandaa ‘Wiki ya Jinsia’ itakayoanza Jumatatu ijayo, kuhamasisha…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari