KILOLO YASHIKA NAFASI YA TATU MAONYESHO YA NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI

  Mgeni rasmi katika kilele cha Maonyesho haya alikuwa waziri wa ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za Mitaa MHE. George B. Simbachawene akimkabidhi mkuu wa wilaya ya Kilolo, Asia Abdallah tuzo ya mshindi wa tatu sambamba na mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Kilolo Aloyce Kwezi. Na Fredy Mgunda, Mbeya   HALMASHAURI ya wilaya ya Kilolo mkoani iringa …

MALIPO YA KODI YA ARDHI NA TOZO SASA KULIPWA KIELEKTRONIKI

    Na ELIAFILE SOLLA WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanza rasmi kutumia mfumo wa kielektroniki wa Government electronic Payment Gateway (GePG) katika makusanyo ya kodi ya pango la ardhi pamoja na tozo nyingine zinazotokana na sekta ya ardhi nchini. Mfumo huu utamrahisishia mwananchi kulipa kodi ya pango la ardhi popote alipo, ikiwa ni pamoja na kulipia …

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA BANDA LA COSTECH MAONYESHO YA NANENANE LINDI

Mkurugenzi wa Utafiti na Maendeleo wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi, Hussein Mansour (kushoto), akitoa maelezo kwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, alipotembelea banda la COSTECH.   Mtafiti kutoka COSTECH, Bestina Daniel, akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea banda la COSTECH katika maonyesho hayo. Mtafiti kutoka Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Mikocheni (MARI), Christina Kidulile, akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea banda la COSTECH jinsi ya …

MHE HAMAD ASIFU TEKNOLOJIA YA SERIKALI MTANDAO KATIKA KILIMO

  Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi wa Zanzibar Mhe Hamad Rashid Muhammed Akisikiliza kwa makini maelezo mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Serikali ya Mtandao wakati alipotembelea Maonesho ya kilimo (Nanenane) yanayofanyika katika viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.   Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi wa Zanzibar Mhe Hamad Rashid Muhammed Akisikiliza kwa makini maelezo mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Serikali ya Mtandao Kutoka …

KATIBU MKUU NYAMHANGA AAGIZA UJENZI MIZANI BARABARA YA DODOMA – BABATI

    KATIBU Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph Nyamhanga, amewaagiza Mameneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mikoa ya Dodoma na Manyara kuhakikisha wanatafuta eneo la kujenga kituo cha mizani ili kudhibiti madereva wanaozidisha uzito katika barabara ya Dodoma- Babati (km 263), inayojengwa kwa kiwango cha lami. Akizungumza katika eneo la Bonga, mkoani …

Wizara ya Nishati Waanzisha Mfumo Rahisishi wa Taarifa

Na Mathias Canal, Lindi WIZARA ya Nishati na Madini imetambua kadhia iliyokuwa inawakumba wananchi kupata taarifa sahihi na za uhakika kuhusu masuala ya nishati jadidifu hapa nchini na hatimaye kuanzisha mfumo rahisishi wa taarifa unaojulikana kama Tanzania Renewable Energy Information Management System (TREIMS). Mfumno huu utasaidia kuhakikisha kwamba taarifa sahihi za masuala ya nishati jadidifu zinapatikana ambapo pindi taarifa zinapopatikana …