MALIPO YA KODI YA ARDHI NA TOZO SASA KULIPWA KIELEKTRONIKI

    Na ELIAFILE SOLLA WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanza rasmi kutumia mfumo wa kielektroniki wa Government electronic Payment Gateway (GePG) katika makusanyo ya kodi ya pango la ardhi pamoja na tozo nyingine zinazotokana na sekta ya ardhi nchini. Mfumo huu utamrahisishia mwananchi kulipa kodi ya pango la ardhi popote alipo, ikiwa ni pamoja na kulipia …

Waziri Lukuvi Agawa Hati za Kimila Vijiji vya Hembeti, Dihombo

  Wakazi wa vijiji vya  Hembeti na Dihombo wakisubiria kupata Hati miliki zao   Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Lukuvi akitoa hotuba yake wakati wa alipozindua utoaji wa Hatimiliki za kimila wilayani Mvomero. Mratibu wa Elimu kata ya Hembeti, Charles Kikully akisoma Risala ya vijiji vya Hembeti na Dihombo kwa Waziri Lukuvi. Mkuu wa Wilaya …

Wajumbe Baraza la Ardhi Kinondoni Watakiwa Kutobweteka

   Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (kulia), akizungumza na wajumbe wa baraza  la ardhi wa wilaya hiyo Dar es Salaam juzi, wakati wakipeana mikakati ya kazi kwa ajili ya kukabiliana na changamoto ya migogoro ya ardhi.  Mkutano ukiendelea. DC Mjema akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa baraza hilo.   Dotto Mwaibale   WAJUMBE wa Baraza la …

EAG Group Yapokea Hati ya Kimila Bagamoyo…!

  SVG haikuishia hapo, imeamua kwa dhati kuchochea maendeleo ya Wanachama wake. Mradi mkubwa uliotekelezwa ni pamoja na kununua hekari 250 huko Fukayosi Bagamoyo. Baada ya ununuzi huu mchakato wakupata hati ulifanywa na kufanikiwa kupata hati za kimila na kukabidhiwa kwa wanachama wa SVG ili kuanza kuendeleza maeneno hayo. Akizungumza kwenye hafla hiyo, Afisa Aridhi wa Wilaya ya Bagamoyo Bw.Kibona …