Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 994

Author: jomushi

Dk Hamis Kigwangalla Hatarini ‘Kufukuzwa’ CCM

Posted on: January 25, 2014 - jomushi
Dk Hamis Kigwangalla Hatarini ‘Kufukuzwa’ CCM

MBUNGE wa Nzega (CCM), Dk Hamis Kigwangalla yuko hatarini kuvuliwa uanachama wa chama hicho, hatua ambayo endapo itachukuliwa itasababisha apoteze nafasi yake ya ubunge. Uongozi…

Continue Reading....

Majengo ya Polisi, Usalama Yashambuliwa Cairo

Posted on: January 25, 2014 - jomushi
Majengo ya Polisi, Usalama Yashambuliwa Cairo

ZAIDI ya watu wanne wameuwawa na wengi kujeruhiwa kufuatia mashambulio matatu ya mabomu karibu na vituo vya polisi katika Mji Mkuu wa Misri Cairo. Shambulio…

Continue Reading....

Serikali na Waasi Sudan Kusini Wasaini Kusitisha Mapigano

Posted on: January 25, 2014January 25, 2014 - jomushi
Serikali na Waasi Sudan Kusini Wasaini Kusitisha Mapigano

SERIKALI na waasi wa Sudan Kusini wamesaini makubaliano ya kusitisha mapigano, japokuwa wachambuzi wa mambo wanasema bado kuna kazi kubwa ya kuwadhibiti wapiganaji na kutekelezwa…

Continue Reading....

Tanzanian Youth, Doreen Noni at the World Economic Forum

Posted on: January 24, 2014 - jomushi
Tanzanian Youth, Doreen Noni at the World Economic Forum

Doreen Noni at Davos. In January 2012, Doreen Noni, Creative Director of Eskado Bird, was one of the 70 carefully selected Global Shapers from 36…

Continue Reading....

Tuzo Maalumu ya Waliojitoa Kuokoa Maisha ya Mama na Mtoto Yaja

Posted on: January 23, 2014 - jomushi
Tuzo Maalumu ya Waliojitoa Kuokoa Maisha ya Mama na Mtoto Yaja

NI kutambua mchango mkubwa, hii ni zawadi inayowafaa vinara! Tuzo ya ufanisi bora kabisa katika afya ya akinamama na watoto wachanga: Tuzo ya Mama Afrika…

Continue Reading....

JK Atuma Rambirambi Msiba wa Ramadhan Bwanamdogo, MB

Posted on: January 23, 2014 - jomushi
JK Atuma Rambirambi Msiba wa Ramadhan Bwanamdogo, MB

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Semamba…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari