SERIKALI imeamua kupunguza kwa kiasi kikubwa bei ya kuunganisha umeme majumbani na kufikia sh. 27,000/ kwa wanavijiji wanaoishi kwenye maeneo ambayo bomba la gesi…
Continue Reading....Author: jomushi
Proin Group of Companies Waukaribisha Mwaka 2014 Dar
Mshereheshaji wa Sherehe hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bongo Movie Steve Nyerere akiongea na wageni waalikwa pamoja na wafanyakazi waliohudhuria sherehe hiyo ya…
Continue Reading....Mahakama Nkasi Yamuamuru Mume Kujenga Nyumba ya Mtalaka Wake
*Nialiyoivunja baada ya kutengana MAHAKAMA ya mwanzo Mjini Namanyere, Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa imetoa amri ya kumtaka Ndebile Kazuri kujenga nyumba ya aliyekuwa mke…
Continue Reading....Tunahitaji Mbadala wa CCM na CHADEMA – Dk Kitila Mkumbo
Na Kitila Mkumbo ITACHUKUA muda kuelewa nini hasa kilichokikumba Chama Kikuu cha Upinzani nchini (CHADEMA) hadi kikashindwa kutatua mgogoro wa uongozi na hatimaye kuingiza nchi…
Continue Reading....Loyola Sekondari Yaadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike…!
SHULE ya Sekondari ya Loyola ya Jijini Dar es Salaam leo imeadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike shuleni hapo kwa kutoa semina mbalimbali kwa wanafunzi…
Continue Reading....