Author: jomushi
Eric Shigongo Ahojiwa na Straight Talk Africa
Mahojiano zaidi ya Tukio hilo ingia link hii; http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/eric-shigongo-speaks-on-voa-s-straight-talk-africa
Continue Reading....Bunge la Katiba Lapitisha Katiba Inayopendekeza, Pinda Ataka Ianze 2015
HATIMAYE Bunge Maalumu la Katiba limehitimisha kazi yake leo Mjini Dodoma na kutolewa kwa matokeo ya upigaji kura kwa wajumbe kuipitisha Katiba inayopendekezwa. Akisoma taarifa…
Continue Reading....Maambukizi ya Ebola Yaongezeka Sierra Leone
SHIRIKA moja la hisani limesema licha ya uhaba mkubwa wa vituo vya afya nchini Sierra Leone, kiwango cha visa vitano vya maambukizi ya ugonjwa wa…
Continue Reading....Mkuu wa Usalama Marekani Abwaga Manyanga..!
MKUU wa Idara ya Usalama nchini Marekani, Julia Pierson ambaye idara yake inahusika na kumlinda Rais wa nchi hiyo Barack Obama, ameamua kubwaga manyanga kazini…
Continue Reading....NSSF Yakisaidia Kitengo cha Wagonjwa Mahututi Muhimbili
Na Mwandishi Wetu MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), umechangia kiasi cha shilingi milioni 20 kwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Msaada huo…
Continue Reading....