Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 712

Author: jomushi

TPB Yakabidhi Madarasa na Ofisi Shule ya Msingi Msenjelele

Posted on: October 3, 2014 - jomushi
Post Tags: Madarasa Shule ya Msingi, Msenjelele Dodoma, TPB
TPB Yakabidhi Madarasa na Ofisi Shule ya Msingi Msenjelele

Na Mwandidhi Wetu, Dodoma BENKI ya Posta Tanzania (TPB) kupitia tawi lake la Dodoma, imejenga madarasa mawili pamoja na ofisi ya walimu katika Shule ya…

Continue Reading....

Saidi Kuboresha Maisha ya Albino kwa Kupiga Kura Hii…!

Posted on: October 3, 2014 - jomushi
Post Tags: Mauaji ya Albino
Saidi Kuboresha Maisha ya Albino kwa Kupiga Kura Hii…!

SHIRIKA linalojibidisha na kutetea na kulinda watu wenye ulemavu wa ngozi nchini Under the Same Sun, (UTSS) limeteuliwa kushindania  Tuzo ya Haki za Binadamu ijulikanayo…

Continue Reading....

Twanga Pepeta Watumbuiza Maisha Club Dar

Posted on: October 3, 2014 - jomushi
Post Tags: Maisha Club Dar, Twanga Pepeta
Twanga Pepeta Watumbuiza Maisha Club Dar

  Kiongozi na mwimbaji  wa bendi ya ‘Twanga Pepeta, Luiza Mbutu akiimba  moja ya nyimbo zao kwenye shoo hiyo iliyofanyika club maisha jijini Dar.  Mwimbaji wa bendi ya…

Continue Reading....

Matukio Picha Katika Mdahalo na Mafunzo Kampeni ya Grow

Posted on: October 3, 2014 - jomushi
Post Tags: Kampeni ya Grow, Mdahalo
Matukio Picha Katika Mdahalo na Mafunzo Kampeni ya Grow

  Mmoja wa washiriki wa Semina hiyo akielezea matarajio yake akiwa kama Mama shujaa wa Chakula na Mkulima mwanamke Jinsi ambavyo wameweza kusaidiwa na Oxfam…

Continue Reading....

JK Amteuwa Samwel Shelukindo Kuwa Balozi na Msaidizi Wake

Posted on: October 2, 2014 - jomushi
Post Tags: Balozi, Samwel Shelukindo
JK Amteuwa Samwel Shelukindo Kuwa Balozi na Msaidizi Wake

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Samwel William Shelukindo kuwa Balozi na pia kuwa Msaidizi wa Rais (Diplomasia). Kabla…

Continue Reading....

Rais wa TFF Atoa Ufafanuzi Mvutano wa Kamati yake na Bodi

Posted on: October 2, 2014 - jomushi
Post Tags: Tanzania Premier league Board, TFF
Rais wa TFF Atoa Ufafanuzi Mvutano wa Kamati yake na Bodi

  VYOMBO kadhaa vya habari vimeripoti kuhusu hali ya mgongano kati ya Kamati ya Utendaji ya TFF na Bodi ya ligi Tanzania (Tanzania Premier league…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari