Muimbaji mahiri Vanessa Mdee amefiwa na dada yake mkubwa Anna Mdee, ambaye amefariki katika hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam, jana Jumatano alfajiri. Anna ambaye alikuwa…
Continue Reading....Author: jomushi
Kada CCM Ajitosa, Atangaza Kugombea Jimbo la Kawe Dar
Kada huyo, Elias Nawera (katikati), akizungumza na wanachama wa CCM na viongozi mbalimbali (hawapo pichani). Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Tawi la Kawe Ukwamani,…
Continue Reading....‘Festula Yawatesa Akinamama 3,000 Tanzania Kila Mwaka’
Na Joachim Mushi, Dar es Salaam ZAIDI ya akinamama 3,000 nchini Tanzania huugua ugonjwa wa fistula mara baada ya kujifungua kila mwaka, huku sababu kubwa…
Continue Reading....TAMWA Kuwajengea Uwezo Waandishi Uandishi Habari za Uchaguzi
CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) kimepanga kuwajengea uwezo baadhi ya waandishi wa habari nchini juu ya uandishi wa habari za uchaguzi kujiandaa na…
Continue Reading....Al Shaabab Wavamia Msikiti Kenya, Auwawa kwa Risasi Burundi
VIONGOZI Kaskazini mwa Kenya wamesema wapiganaji wa kundi la kigaidi kutoka Somalia la Al Shaabab wamevamia msikiti mmoja eneo la Garissa kwa masaa kadhaa. Wapiganaji…
Continue Reading....Walemavu Wafunga Barabara ya Kawawa Dar, Shughuli Zasimama
WAFANYABIASHARA ndogondogo wenye ulemavu eneo la Mchikichini, Karume jijini Dar es Salaam wamefunga barabara kwa zaidi ya saa nne wakishinikiza kuonana na Mkuu wa Mkoa…
Continue Reading....