Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 521

Author: jomushi

Mama Kanumba Alia Ukumbini…!

Posted on: May 25, 2015 - jomushi
Post Tags: Alia Tuzo za Filamu, Mama Kanumba
Mama Kanumba Alia Ukumbini…!

MAMA wa aliyekuwa staa wa filamu nchini Tanzania Steven Kanumba (The Great) juzi jijini Dar es Salaam alijikuta akiangua kilio hadharani kwenye hafla ya utoaji…

Continue Reading....

Kocha Mkuu Stars Kutimuliwa, Apewa Mtihani wa Mwisho…!

Posted on: May 25, 2015 - jomushi
Post Tags: Kocha Mkuu, Mart Nooij, Stars
Kocha Mkuu Stars Kutimuliwa, Apewa Mtihani wa Mwisho…!

KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) imesikitishwa na mwenendo mbovu wa Taifa Stars, hivyo kumpa mtihani wa mwisho kocha mkuu…

Continue Reading....

Vilabu Ligi Kuu Vyatakiwa Kuomba Ushiriki Msimu Mpya

Posted on: May 25, 2015 - jomushi
Post Tags: Ligi Kuu Soka, Msimu Mpya, tanzania
Vilabu Ligi Kuu Vyatakiwa Kuomba Ushiriki Msimu Mpya

MEI 24, 2015 Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF imeketi katika ukumbi uliopo makao makuu ya Shirikisho uwanja wa Karume.…

Continue Reading....

NSSF Yaendesha Kambi za Kupima Afya Bure Mkoani Tanga

Posted on: May 25, 2015 - jomushi
Post Tags: Kupima Afya, NSSF, tanga
NSSF Yaendesha Kambi za Kupima Afya Bure Mkoani Tanga

SHIRIKA la Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), litaendesha kambi za upimaji wa Afya bure kwa wakazi wa Tanga. Lengo la kambi hizi ni kuweza…

Continue Reading....

Matukio Picha Katika Tuzo za Filamu 2015 Dar

Posted on: May 24, 2015May 24, 2015 - jomushi
Post Tags: Dar, Matukio Picha, Tuzo za Filamu 2015
Matukio Picha Katika Tuzo za Filamu 2015 Dar

Continue Reading....

Wananchi Vijijini Kunufaika na Mawasiliano ya Simu za TTCL

Posted on: May 24, 2015May 24, 2015 - jomushi
Post Tags: Mawasiliano, Simu za TTCL, vijijini
Wananchi Vijijini Kunufaika na Mawasiliano ya Simu za TTCL

hafla uwekaji wa saini mikataba ya kupeleka mawasiliano ya simu kwenye maeneo ya vijijini. [/caption] KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) kuwapatia wananchi waishio vijijini zaidi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari