BUKOWADAU MEDIA, tunawatakia Waislamu wote na wasomaji wetu popote duniani Siku Kuu njema yenye kheri na baraka. Tunamuomba Mola wetu mlezi awarehemu wazee wetu wote waliotangulia…
Continue Reading....Author: jomushi
StarTimes Yasaidia Watoto Shule ya Walemavu wa Akili Airwing
Kutoka kulia ni wafanyakazi wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Bi. Elena Liu na Paulina Kaka wakifurahia jambo pamoja na Mwalimu wa Shule ya Msingi ya…
Continue Reading....Mama Salma Kikwete Ashiriki Msiba wa ‘Banza Stone’
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akilakiwa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Bw. Godfrer Mngereza alipowasili kujiunga na familia na…
Continue Reading....Tabora Stand Up; Eid Mosi Wasanii Wafurika…!
Shangwe na burudani za kutosha zinatarajiwa kufanyika katika sikukuu ya Eid hapo kesho mkoani Tabora panapo majaaliwa ya M/Mungu. Mashabiki mbalimbali mjini Tabora watarajiwa kufurahia…
Continue Reading....Wanafunzi, Wananchi Wamchangia Abood Fedha ya Fomu ya Ubunge
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Aziz Abood Akipokea Kiasi cha Shilingi 50000/= kutoka Kikundi cha Tushikamane Kata ya Kilakala kwa lengo la kumtaka…
Continue Reading....