Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 461

Author: jomushi

Coastal Union Kucheza Kirafiki na Friends Corner

Posted on: July 18, 2015 - jomushi
Post Tags: Coastal Union, Friends Corner
Coastal Union Kucheza Kirafiki na Friends Corner

MABINGWA wa Ligi kuu soka Tanzania bara mwaka 1988 Coastal Union ya Tanga kesho Iddi Pili inatarajia kucheza mechi ya kirafiki na timu ya Friends…

Continue Reading....

Mwanahabari Kambi Mbwana Ajitosa Ubunge Handeni Vijijini

Posted on: July 17, 2015 - jomushi
Post Tags: Ubunge Handeni
Mwanahabari Kambi Mbwana Ajitosa Ubunge Handeni Vijijini

 Na Mwandishi Wetu, Handeni MWANDISHI wa habari za michezo na mdau wa maendeleo wilayani Handeni, mkoani Tanga, amejitokeza rasmi katika mbio za kuwania ubunge jimbo la Handeni Vijijini…

Continue Reading....

Mabondia wa Kike Kuzichapa Manzese Dar…!

Posted on: July 17, 2015 - jomushi
Post Tags: bondia, wanawake
Mabondia wa Kike Kuzichapa Manzese Dar…!

Continue Reading....

Swala ya Iddi kwa Madhehebu ya Answari Suna Dar…!

Posted on: July 17, 2015July 17, 2015 - jomushi
Swala ya Iddi kwa Madhehebu ya Answari Suna Dar…!

 Amiri wa Jumuiya ya Answari Suna Tanzania, Shekh. Juma Omari Poli (kulia), akiswalisha Swala ya Iddi katika Viwanja vya Jangwani Dar es Salaam.  Shekh Hamid Abdallah, akitoa mawaidha wakati…

Continue Reading....

UNHCR: Tanzania ni Kimbilio Salama la Wakimbizi…!

Posted on: July 17, 2015July 17, 2015 - jomushi
Post Tags: UNHCR, Wakimbizi
UNHCR: Tanzania ni Kimbilio Salama la Wakimbizi…!

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi Duniani (UNHCR) limesema kuwa Tanzania imekuwa kimbilio salama la wakimbizi kwa sababu ni nchi salama, ni nchi tulivu,…

Continue Reading....

Nani Kuaga Shindano la TMT 2015 Mpakakieleweke..?

Posted on: July 17, 2015 - jomushi
Post Tags: Shindano la TMT

 Baadhi ya washiriki wakiwa kazini katika kutengeneza filamu mfupi  Baadhi ya washiriki wakiwa makini huku sura zao zikiwa na majonzi na wasiwasi juu ya washiriki…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari