Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,300

Author: jomushi

Jiwe lauwa mchimba madini Bulyanhulu

Posted on: April 11, 2011 - jomushi
Jiwe lauwa mchimba madini Bulyanhulu

Na Mwandishi Wetu Kahama MFANYAKAZI mmoja katika mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga amefariki dunia baada ya kuangukiwa na jiwe wakati…

Continue Reading....

Walimu 81 wakacha kuripoti Rukwa

Posted on: April 11, 2011April 11, 2011 - jomushi
Walimu 81 wakacha kuripoti Rukwa

Na Mwandishi Wetu Sumbawanga ZAIDI ya walimu 81 waliopangiwa kufundisha shule mbalimbali za sekondari zilizopo mkoani Rukwa hawajaripoti katika vituo vyao vya kazi, limefahamika. Akizungumza…

Continue Reading....

Mkama, Kinana watajwa kubeba jahazi la CCM

Posted on: April 11, 2011April 11, 2011 - jomushi
Mkama, Kinana watajwa kubeba jahazi la CCM

Dodoma SIKU moja baada ya Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujiuzulu pamoja na sekretarieti yake, baadhi ya makada wa chama hicho tawala wanatajwa…

Continue Reading....

Viongozi wa siasa wafanyabiashara maarufu kutekwa

Posted on: April 11, 2011 - jomushi
Viongozi wa siasa wafanyabiashara maarufu kutekwa

Na Mwandishi Wetu MNAJIMU maarufu nchini, Sheikh Yahya Hussein ametabiri kuwa viongozi wa siasa na wafanyabiashara maarufu watatekwa kuanzia Aprili 19 na kuendelea hadi mwezi…

Continue Reading....

Askari waliogombea mirungi wasubiri hukumu

Posted on: April 7, 2011April 10, 2011 - jomushi
Askari waliogombea mirungi wasubiri hukumu

      Na Mwandishi Wetu, Mwanza ASKARI polisi wawili wanaodaiwa kupigana baada ya kushindwa kugawana dawa za kulevya aina ya mirungi iliyotelekezwa na abiria…

Continue Reading....

Dk Shein: Tumuenzi Karume kwa vitendo

Posted on: April 7, 2011April 10, 2011 - jomushi
Dk Shein: Tumuenzi Karume kwa vitendo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka vijana kumkumbuka Marehemu Abeid Amani Karume kwa vitendo. Dk.…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari