Rais Jakaya Kikwete amewasili nchini Uganda kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Yoweri Museveni zinazofanyika Uganda leo. Museveni anaapishwa baada ya kushinda uchaguzi mkuu wa…
Continue Reading....Author: jomushi
Nahodha azungumzia Wazenji kuchoma mabanda ya Wabara
Na Said Mwishehe Dodoma WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha amesema kubomolewa kwa mabanda 73 ya wafanyabiashara mjini Unguja Zanzibar ni…
Continue Reading....Dk Bilal azitaka nchi tajiri kutimiza ahadi
Na Mwandishi Maalum Instabul TANZANIA imetoa wito kwa nchi tajiri kutambua nafasi yao katika kuzikwamua nchi masikini ili ziweze kukuza uchumi wake na kuwasaidia wananchi…
Continue Reading....CCM yagawanyika Songea
CCM yagawanyika Songea Na Mwandishi Wetu Songea WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatengeneza mazingira ya kujisafisha kuanzia ngazi ya Taifa hadi kwenye matawi kwa kauli…
Continue Reading....Mashindano ya KCB East African Tour 2011 yazinduliwa
Na Janeth Mushi Arusha MASHINDANO ya Benki ya Biashara Kenya (KCB) East Africa Golf Tour 2011 yanayoanza leo mjini hapa katika viwanja vya Arusha Gymkana…
Continue Reading....Madiwani walilia mishahara kama wabunge
Na Mwandishi Wetu Kilwa MADIWANI wa halmashauri mbalimbali za Mkoa wa Lindi wameishauri Serikali kubadili mfumo wa malipo kwa viongozi hao kutoka kulipwa posho na…
Continue Reading....