Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,293

Author: jomushi

Mwalimu aweka poni nyaraka za shule kwa pombe

Posted on: May 9, 2011 - jomushi
Mwalimu aweka poni nyaraka za shule kwa pombe

Mwandishi Wetu Sumbawanga MWALIMU Mkuu wa Shule ya Msingi Chipu, Kata ya Kasense Manispaa ya Sumbawanga aweka poni Muhtasari wa masomo 13 kwa mfanyabiashara wa…

Continue Reading....

Kikwete awataka mawaziri waache ubabe, dhuluma, uzinzi

Posted on: May 9, 2011May 9, 2011 - jomushi
Kikwete awataka mawaziri waache ubabe, dhuluma, uzinzi

Na Said Mwishehe Dodoma RAIS Jakaya Kikwete amewataka mawaziri, manaibu waziri, makatibu wakuu na manaibu wao katika Serikali yake kutotumia nafasi zao vibaya kwa kujihusisha…

Continue Reading....

Benki, asasi za fedha ondoeni masharti magumu-Wajasiriamali

Posted on: May 8, 2011 - jomushi
Benki, asasi za fedha ondoeni masharti magumu-Wajasiriamali

Na Mwandishi Wetu Moshi BENKI na asasi mbalimbali zinazojihusisha na kutoa mikopo zimetakiwa kulegeza masharti ya mikopo hiyo ili kuwawezesha wajasiriamali wengi kupata huduma hiyo…

Continue Reading....

‘Siasa zisiingizwe kwenye shughuli za maendeleo’

Posted on: May 8, 2011 - jomushi
‘Siasa zisiingizwe kwenye shughuli za maendeleo’

Na Anna Nkinda, Maelezo Mkuranga WANANCHI wilayani Mkuranga wametakiwa kuachana na itikadi za kisiasa katika shughuli za maendeleo, kwani suala la maendeleo linamgusa kila mwananchi…

Continue Reading....

Yanayodaiwa kuwa makazi ya Osama bin Laden

Posted on: May 5, 2011 - jomushi
Yanayodaiwa kuwa makazi ya Osama bin Laden

Continue Reading....

JK: Kifo cha Osama ni unafuu kwa walioumizwa

Posted on: May 3, 2011 - jomushi
JK: Kifo cha Osama ni unafuu kwa walioumizwa

Na Edson Kamukara Dar es Salaam RAIS Jakaya Kikwete amesema kifo cha Kiongozi wa kundi la Al-qaeda, Osama Bin Laden kitaleta unafuu na kuwapunguzia machungu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari