Na Janeth Mushi, Simanjiro SHIRIKA la Misaada na Maendeleo ya Jamii ya World Vision Tanzania limetumia zaidi ya bilioni 3.6 kuboresha shughuli za kilimo, ufugaji…
Continue Reading....Author: jomushi
Askari apigwa risasi na majambazi Arumeru
Na Janeth Mushi, Arumeru ASKARI wa Jeshi la Polisi namba F 6004, PC Prosper amejeruhiwa vibaya na risasi mapajani na majambazi wakati walipokuwa wanajibizana kwa…
Continue Reading....‘Majambazi’ watatu wauwawa, wakutwa na bunduki, risasi 25
Na Janeth Mushi, Arusha WATU watatu wanaodhaniwa kuwa majambazi wameuwawa na Polisi mkoani Arusha walipokuwa wakirushiana risasi na askari hao na tayari mtu mmoja anashikiliwa…
Continue Reading....Vodacom yaongoza kwa wingi wa wateja, yafikisha mil 10
Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Simu za mkononi ‘Vodacom Tanzania’ imefikisha idadi ya wateja milioni 10, hivyo kuwa ni kampuni pekee ya simu yenye wateja…
Continue Reading....Pinda ataka vyombo vya dola kukagua maghala ya Sukari
Na Mwandishi Maalumu WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amevitaka vyombo vya dola mkoani Mara kufanya ukaguzi katika maghala ya wasambazaji wa sukari ili sukari hiyo ichukuliwe…
Continue Reading....Serikali kumsaidia Mwalimu wa Baba wa Taifa
Na Mwandishi Wetu, Musoma SERIKALI imesema tayari imemtafuta Mwalimu James Irenge (120) ambaye alimfundisha Baba wa Taifa, Julius Nyerere kipindi anasoma na imeahidi kumsaidia mzee…
Continue Reading....