Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,152

Author: jomushi

Wabunge Chadema Mahakamani kesho

Posted on: September 18, 2011 - jomushi
Wabunge Chadema Mahakamani kesho

BAADA ya juzi Jeshi la Polisi kuwahoji na kuwaachulia huru wabunge wa Chadema, jana asubuhi walikamatwa na kutupwa korokoroni hadi kesho watapokafikishwa mahakamani kujubu tuhuma…

Continue Reading....

Arsenal yalambwa 4-3 na Blackburn

Posted on: September 18, 2011 - jomushi
Arsenal yalambwa 4-3 na Blackburn

BLACKBURN imepata ushindi wake wa kwanza katika Ligi Kuu ya England msimu huu na kumpunguzia ugonjwa wa moyo meneja wao, Steve Kean baada ya kuwa…

Continue Reading....

Tume kuchunguza ajali ya meli yaundwa Zanzibar

Posted on: September 18, 2011 - jomushi
Tume kuchunguza ajali ya meli yaundwa Zanzibar

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeunda tume maalumu huru ambayo itakuwa na jukumu la kuchunguza ajali ya kuzama kwa meli…

Continue Reading....

Huu si wakati wa kulaumiana kufuatia ajali ya meli-Dk Shein

Posted on: September 17, 2011September 18, 2011 - jomushi
Huu si wakati wa kulaumiana kufuatia ajali ya meli-Dk Shein

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amesema huu sio wakati wa kulaumiana wala…

Continue Reading....

Waziri Pinda aendelea kuwapigania Wakulima

Posted on: September 17, 2011 - jomushi
Waziri Pinda aendelea kuwapigania Wakulima

*Atilia shaka takwimu za vocha za pembejeo Na Mwandishi Maalumu WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameonesha wasiwasi juu ya takwimu za matumizi ya vocha za pembejeo…

Continue Reading....

Pinda awacharukia wakuu wa mikoa, wilaya

Posted on: September 17, 2011 - jomushi
Pinda awacharukia wakuu wa mikoa, wilaya

*Asema wasiojua pato la wanaowaongoza hawafai Na Mwandishi Maalumu WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema kuwa wakuu wa mikoa, wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri wasiojua kipato…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari