Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,150

Author: jomushi

Ziara ya Pinda Musoma Vijijini mkoani Mara

Posted on: September 20, 2011 - jomushi
Ziara ya Pinda Musoma Vijijini mkoani Mara

Continue Reading....

Wabunge wa Chadema wafikishwa mahakamani

Posted on: September 20, 2011 - jomushi
Wabunge wa Chadema wafikishwa mahakamani

Tabora na Igunga WABUNGE wawili wa Chadema na kiongozi mmoja wa chama hicho wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Tabora kujibu mashtaka matatu kwa pamoja…

Continue Reading....

Happy Birthday Kamanda yetu Ras Makunja wa ‘FFU’!

Posted on: September 19, 2011 - jomushi
Happy Birthday Kamanda yetu Ras Makunja wa ‘FFU’!

LEO Septemba 19, 2011 ni siku ya kuzaliwa mwanamuziki, Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja, mtunzi, mwimbaji na kiongozi wa bendi maarufu “Ngoma Africa band”…

Continue Reading....

Dk. Shein aendelea na ziara ya kuwafariji wafiwa Pemba

Posted on: September 19, 2011September 19, 2011 - jomushi
Dk. Shein aendelea na ziara ya kuwafariji wafiwa Pemba

Na Rajab Mkasaba, Pemba RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ameendelea kuwafariji wafiwa kisiwani Pemba kufuatia ajali ya…

Continue Reading....

Hatma ya madiwani waliotimuliwa Chadema kesho!

Posted on: September 19, 2011September 19, 2011 - jomushi
Hatma ya madiwani waliotimuliwa Chadema kesho!

Na Janeth Mushi, Arusha HATMA ya madiwani watano wa Chama cha Damokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanaopinga kufukuzwa uanachama inatarajia kujulikana kesho wakati Mahakama itakapotoa uamuzi…

Continue Reading....

Mauaji makubwa yafanyika Burundi

Posted on: September 19, 2011 - jomushi
Mauaji makubwa yafanyika Burundi

TAKRIBANI watu 36 wameuawa baada ya watu wenye silaha wasiojulikana kufyatua risasi kwenye baa iliyojaa watu karibu na Mji Mkuu wa Burundi, Bujumbura, kwa mujibu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari