Nairobi MWANAHARAKATI maarufu na mtunukiwa wa tuzo ya Amani ya Nobel, Profesa Wangari Maathai amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71. Mwanaharakati huyo mashuhuri…
Continue Reading....Author: jomushi
Wanawake Saudia waruhusu kupiga kura
WANAWAKE wa Saudi Arabia hivi sasa wanabaguliwa sana, pamoja na kukatazwa kuendesha gari. Mfalme Abdullah bin Abdelaziz alisema wanawake sasa wataweza kupiga kura na piya…
Continue Reading....Dk. Shein afanya uteuzi mpya wa viongozi
Na Rajab Mkasaba, Ikulu- Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi katika nyadhifa mbalimbali, ambapo amemteua…
Continue Reading....SHOOTING YAPIGWA FAINI SH. 500,000
KAMATI ya Mashindano ya TFF imeipiga faini ya sh. 500,000 timu ya Ruvu Shooting ya Mkoa wa Pwani baada ya kupata kadi sita kwenye mechi…
Continue Reading....TFF wataka ufafanuzi juu ya mbwa wa polisi
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko tukio la mbwa wa polisi kukata kamba na kusababisha mtafaruku kwa wachezaji wakati wa mechi…
Continue Reading....