Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,122

Author: jomushi

Saudi Arabia kuwasilisha malalamiko Baraza la Usalama

Posted on: October 18, 2011October 18, 2011 - jomushi
Saudi Arabia kuwasilisha malalamiko Baraza la Usalama

UONGOZI wa Saudi Arabia unataka kuyawasilisha katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, malalamiko baada ya kubainika njama ya kumuua balozi wake nchini Marekani.…

Continue Reading....

Misafara ya wafungwa wa Palestina yaanza kuondoka Israel

Posted on: October 18, 2011October 18, 2011 - jomushi
Misafara ya wafungwa wa Palestina yaanza kuondoka Israel

WAFUNGWA wapatao 295 wa Palestina wataachiwa kati ya kundi la 477 waliorodheshwa. Shughuli hiyo inatazamiwa kuendelea kwa muda wa saa kadhaa. Magari ya kwanza ya…

Continue Reading....

Wenger hana hofu mkataba wa Van Persie

Posted on: October 18, 2011October 18, 2011 - jomushi
Wenger hana hofu mkataba wa Van Persie

Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger amesema hana wasiwasi kwamba Robin van Persie si mwenye haraka ya kusaini mkataba mpya katika klabu hiyo. Nahodha wa Arsenal,…

Continue Reading....

Al-shabab kulipiza kisasi, kuipiga Kenya

Posted on: October 18, 2011October 18, 2011 - jomushi
Al-shabab kulipiza kisasi, kuipiga Kenya

MSEMAJI wa kundi la wapiganaji wa Al-Shabab, Sheikh Ali Dheere amesema wako tayari kulipiza kisasi kwa kuyashambulia majengo ya Kenya na kuzorotesha uchumi wa nchi…

Continue Reading....

Mwanajeshi wa Israeli kuachiliwa huru

Posted on: October 18, 2011October 18, 2011 - jomushi
Mwanajeshi wa Israeli kuachiliwa huru

MWANAJESHI mmoja wa Israeli Gilad Shalit, anatarajiwa kuachiliwa huru leo, baada ya kuzuiliwa kwa miaka mitano, huku wafungwa wa Palestina wapatao 1,000 wakiachiliwa huru kufuatia…

Continue Reading....

Wafuasi wa Gaddafi waingia Mali

Posted on: October 18, 2011October 18, 2011 - jomushi
Wafuasi wa Gaddafi waingia Mali

Wapiganaji wa kabila la Tuareg waliorudi Mali kutoka Libya wanaaminika kusaidia katika kuanzisha kundi jipya la waasi. Kundi hilo la National Movement for the Liberation…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari