Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,121

Author: jomushi

TFF yatatua utata wa uuzwaji Small Kids

Posted on: October 18, 2011 - jomushi
TFF yatatua utata wa uuzwaji Small Kids

KAMATI ya Mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeketi Oktoba 16 mwaka huu pamoja na mambo mengine kutolea uamuzi utata uliojitokeza na…

Continue Reading....

Mwandishi Hamad Maulid afariki dunia

Posted on: October 18, 2011 - jomushi
Mwandishi Hamad Maulid afariki dunia

CHAMA Cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kinasikitika kutangaza kifo cha mwandishi mahiri wa habari za michezo Zanzibar, Maulid Hamad Maulid. Maulid ambaye…

Continue Reading....

Pinda ataka halmashauri zitenge maeneo ya Benki ya Ardhi

Posted on: October 18, 2011 - jomushi
Pinda ataka halmashauri zitenge maeneo ya Benki ya Ardhi

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amezitaka Halmashauri za Wilaya nchini kutenga maeneo maalum kwa ajili ya uwekezaji ili baadaye yatumike kama land bank (akiba ya ardhi)…

Continue Reading....

T-Moto kuanza kuwasha moto mkoani Mtwara

Posted on: October 18, 2011October 18, 2011 - jomushi
T-Moto kuanza kuwasha moto mkoani Mtwara

*Kutoa msaada wa kitanda cha wajawazito Hospitali ya Mkoa Mtwara KUNDI jipya la taarab linalokuja kwa kasi nchini, Tanzania Modern Taarab (T-Moto) ama ‘Real Madrid’…

Continue Reading....

Rais Kikwete amteua Balozi Kazaura Mkuu wa Chuo UDSM

Posted on: October 18, 2011 - jomushi
Rais Kikwete amteua Balozi Kazaura Mkuu wa Chuo UDSM

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Balozi Fulgence Kazaura kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)…

Continue Reading....

Balozi Amina Ali atunukiwa tuzo ya Mwanadiplomasia wa mwaka

Posted on: October 18, 2011October 18, 2011 - jomushi
Balozi Amina Ali atunukiwa tuzo ya Mwanadiplomasia wa mwaka

Mwandishi Maalum BALOZI wa Umoja wa Afrika nchini Marekani Bi. Amina Salum Ali ametunukiwa tuzo ya Mwanadiplomasia wa Mwaka na Taasisi ya Jumuiya za Africa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari