Author: jomushi
Uhuru One kutoa laptop kwa wanafunzi Tanzania
Na Mwandishi Maalumu, Geneva, Switzerland KAMPUNI ya Uhuru One inaangalia uwezekano wa kutoa mafunzo ya matumizi rahisi ya kompyuta ndogo (laptop) mpango ambao utakwenda sambamba…
Continue Reading....TFF yamuengua Michael Wambura kungombea uongozi FAM
Na Joachim Mushi KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limemuengu Michael Wambura kugombea nafasi ya uenyekiti katika kinyang’anyiro cha uchaguzi…
Continue Reading....Finland kuendeleza mradi wa mazingira Zanzibar
Na Rajab Mkasaba, Ikulu- Zanzibar FINLAND imesema itaendelea kushirikiana na Zanzibar katika kuimarisha sekta mbalimbali za maendeleo ikiwa ni pamoja na kuuendeleza mradi wa kutunza…
Continue Reading....Dk. Bilal aiwakilisha Tanzania Mkutano wa Mawasiliano Kimataifa
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal ameiwakilisha Tanzania katika mkutano wa ITU (International Telecommunication Union) unaohusu wajibu nchi…
Continue Reading....Mechi ya Kagera Sugar Vs Coastal yasogezwa mbele
MECHI namba 89 ya Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Kagera Sugar na Coastal Union iliyopangwa kufanyika Novemba 2 mwaka Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba…
Continue Reading....