*UVCCM kumpa mtaji wa biashara aliyemwagiwa tindikali Igunga Na Janeth Mushi, Moshi KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Martine…
Continue Reading....Author: jomushi
Chelsea kushtakiwa na FA
CHAMA CHA SOKA cha England (FA) kimeishtaki Chelsea kwa kushindwa kuwadhibiti wachezaji wake katika mchezo dhidi ya QPR na kumtaka meneja Andre Villas-Boas kutoa ufafanuzi…
Continue Reading....Man U, Arsenal zasonga mbele Carling
Manchester United imesonga mbele na kuingia katika 16 za mwisho baada ya kuizaba Aldershot 3-0 katika mchezo wa raundi ya nne wa Kombe la Carling.…
Continue Reading....Polisi wanasa maguruneti na bunduki-Kenya
MTU MMOJA amekamatwa na polisi na silaha mbali mbali katika mtaa mmoja mjini Nairobi,Kenya. Katika nyumba hiyo polisi walinasa maguruneti 13 na bunduki kadhaa pamoja…
Continue Reading....Jaji Mkuu Tanzania awania nafasi ya Ocampo
JAJI MKUU wa Tanzania Mohamed Chande Othman kuwania nafasi ya Ocampo ICC Jaji mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman ni mmoja kati ya watu wanne…
Continue Reading....Kanali Gaddafi mwanae wazikwa kisiri Libya
MAZISHI ya Kanali Muammar Gaddafi, mwanae Mutassim na Waziri wa Ulinzi yamefanyika katika sehemu ya siri leo alfajiri. Taarifa zilizotolewa na mmoja wa wasemaji wa…
Continue Reading....