Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,109

Author: jomushi

TFF yawataja viingilio na waamuzi mechi ya Simba na Yanga

Posted on: October 25, 2011 - jomushi
TFF yawataja viingilio na waamuzi mechi ya Simba na Yanga

Na Mwandishi Wetu SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetaja wamuzi watakao kuwa na kibarua cha kuchezesha mechi namba 78 ya Ligi Kuu ya…

Continue Reading....

Dk. Magufuli awakoromea Makandarasi

Posted on: October 25, 2011 - jomushi
Dk. Magufuli awakoromea Makandarasi

*Aanza utekelezaji ahadi ya ujenzi wa daraja Igunga Na Martin Ntemo, Habari- Wizara ya Ujenzi WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli (Mb), ametoa onyo…

Continue Reading....

Gaddafi kuzikwa leo jangwani kwa siri

Posted on: October 25, 2011October 25, 2011 - jomushi
Gaddafi kuzikwa leo jangwani kwa siri

BARAZA la Mpito la Libya limearifu kuwa Muammar Gaddafi atazikwa jangwani leo katika sehemu ya siri. Mwakilishi mmoja wa Baraza hilo ambae hakutaka kutajwa ameleeza…

Continue Reading....

Chama cha kiislamu chajitangazia ushindi Tunisia

Posted on: October 25, 2011October 25, 2011 - jomushi
Chama cha kiislamu chajitangazia ushindi Tunisia

CHAMA cha kiislamu chenye msimamo wa wastani nchini Tunisia, Ennahda, kimejitangazia ushindi katika uchaguzi wa kwanza wa kidemokrasia nchini humo. Matokeo rasmi yanatarajiwa baadaye siku…

Continue Reading....

Kenya yalipuliwa tena, mmoja auawa 11 wajeruhiwa

Posted on: October 25, 2011October 25, 2011 - jomushi
Kenya yalipuliwa tena, mmoja auawa 11 wajeruhiwa

TAARIFA kutoka Kenya zinasema kumetokea mlipuko mwingine katika Mji Mkuu wa nchi hiyo, Nairobi. Polisi wanasema mtu mmoja ameuawa na wengine kumi na wawili wamejeruhiwa.…

Continue Reading....

Jaji akwamisha kesi ya Lema kusikilizwa

Posted on: October 24, 2011 - jomushi
Jaji akwamisha kesi ya Lema kusikilizwa

Na Mwandishi Wetu, Arusha KESI ya kupinga matokeo ya Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema (CHADEMA) leo imekwama kusikilizwa tena baada ya Jaji…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari