Na Mwandishi Wetu, Moshi WAKAZI wanaoishi maeneo ya kuzunguka Shule ya Sekondari Mahida iliyoko wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro wamelalamikia vitendo vinavyofanywa na wanafunzi wa shule…
Continue Reading....Author: jomushi
Rais Kikwete atuma rambirambi kwa familia ya Balozi Haji Lukindo
Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa…
Continue Reading....Waziri matatani Arumeru
VIJANA WA CHADEMA WAMZINGIRA, AHOJIWA NA POLISI Waandishi Wetu, Arumeru NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodlucky Ole Medeye juzi usiku aliingia…
Continue Reading....Viongozi wa ECOWAS wasitisha safari Mali
UJUMBE wa viongozi wa Afrika Magharibi umeachana na mpango wake wa kwenda Mali kujadiliana na viongozi wa mapinduzi ya wiki iliyopita. Taarifa zinasema kwa sasa…
Continue Reading....Darasa la tano na sita wasomea darasa moja Kisarawe
Na Joachim Mushi, Thehabari-Kisarawe WAKATI Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi nchini ikijipanga kuanza kufundisha kwa kutumia teknolojia ya kompyuta katika shule mbalimbali, wanafunzi…
Continue Reading....