Author: jomushi
Simba, Yanga zasaka pointi VPL
Na Mwandishi Wetu YANGA na Simba ni miongoni mwa timu nne zitakazokuwa viwanjani kesho (Machi 31 mwaka huu) kusaka pointi tatu za Ligi Kuu ya…
Continue Reading....Zimbabwe yaitaka Twiga Stars
CHAMA cha Mpira wa Miguu Zimbabwe (ZIFA) kimeomba mechi ya kirafiki kati ya timu yake ya Taifa ya wanawake na Twiga Stars. Mechi hiyo itakayochezwa…
Continue Reading....‘Wahitajika ushirikiano kukabiliana na tishio la usalama EAC’
Na James Gashumba, EANA NAIBU Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) anayeshughulikia Shirikisho la Kisiasa, Beatrice Kiraso, amesema matatizo ya kiusalama yanayoikabili kanda…
Continue Reading....Abiria Sumry adakwa na pembe za ndovu
ASKARI wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Iringa kwa kushirikiana na Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Iringa wamemkamata abiria Suleiman Amidu aliyekuwa akisafiri na basi…
Continue Reading....Mkapa arudi kwenye kampeni za CCM Arumeru
Rais na Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa akiwa kwenye chumba cha kufikia kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) baada ya kupokewa…
Continue Reading....