Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, leo, Alhamisi, Machi 29, 2012, amepokea rasmi Ripoti ya Mwaka ya Ukaguzi…
Continue Reading....Author: jomushi
Dk. Bilal akutana na mabalozi wa Saudia, Uturuki na Vatican
Na Mwandishi Wetu MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal amekutana na mabalozi wapya wa nchi za Saudia, Uturuki…
Continue Reading....Wanafunzi 159 wa Shule ya Sekondari Maneromango wakimbia mitihani
Na Joachim Mushi, dev.kisakuzi.com-Kisarawe WANAFUNZI 159 wa Shule ya Sekondari Maneromango wametoroka kufanya mitihani ya majaribio ya robo muhula iliyoanza juzi katika shule hiyo. Wanafunzi…
Continue Reading....