Manchester City imechukua tena usukani wa ligi kuu ya England na kuongeza matumaini ya kunyakua ubingwa baada ya kuwachapa mahasimu wao Manchester United kwa 1-0.…
Continue Reading....Author: jomushi
Mei Day na changamoto mbalimbali za wafanyakazi
Mei Day Zanzibar katika matukio ya Picha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwapungia mkono wafanyakazi wakati akipokea maandamano ya…
Continue Reading....UBADHIRIFU,WIZI WA MALI ZA UMMA KIKWAZO CHA SERIKALI KUONGEZA MISHAHARA YA WAFANYAKAZI.
VITENDO vya ubadhirifu wa mali za umma,ufisadi na wizi kwa baadhi ya watumishi na viongozi ni moja ya sababu inayoifanya serikali kukosa mapato na hivyo…
Continue Reading....Wafanyakazi walizwa na Mishahara duni Mei day-Tanga
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki kuimba wimbo wa wafanyakazi akiwa kashikana mikono na Rais wa Jumuiya ya Vyama vya wafanyakazi (TUCTA) Mh, Waziri wa…
Continue Reading....Mwenyekiti wa Chadema aliye uwawa kikatili azikwa
Na Mwandishi Wetu, Same ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tawi la USa River, Msafiri Mbwambo (36) aliyeuwawa kikatili na watu wasiojulikana…
Continue Reading....