Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,856

Author: jomushi

Tusiirejeshe Zanzibar kwenye mifarakano-Dk Shein

Posted on: May 3, 2012 - jomushi
Tusiirejeshe Zanzibar kwenye mifarakano-Dk Shein

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema amani na utulivu iliyopo nchini haina…

Continue Reading....

Ngoma Africa Band yatoa hongera kwa wanahabari

Posted on: May 3, 2012 - jomushi
Ngoma Africa Band yatoa hongera kwa wanahabari

BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya “Ngoma Africa Band” a.k.a FFU yenye maskani yake nchini Ujerumani, imetoa salamu za pongezi kwa wanahabari na…

Continue Reading....

Evans Bukuku afanya mambo Nyumbani Lounge

Posted on: May 3, 2012 - jomushi
Evans Bukuku afanya mambo Nyumbani Lounge

Continue Reading....

Wanafunzi 48 wanusurika kuteketea moto bwenini

Posted on: May 3, 2012 - jomushi
Wanafunzi 48 wanusurika kuteketea moto bwenini

Na Mwandishi Wetu, Moshi WANAFUNZI 48 wa kidato cha kwanza Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Lyakirimu iliyoko Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wamenusurika kifo…

Continue Reading....

Viongozi Iringa vijijini wamulikwe kwa kuhatarisha amani

Posted on: May 3, 2012May 3, 2012 - jomushi
Viongozi Iringa vijijini wamulikwe kwa kuhatarisha amani

Na Mwandishi Wetu SERIKALI inapaswa kuchukua hatua za haraka kuelekeza viongozi wa vijiji nchini taratibu za kushughulikia migogoro ya kisheria ili kuepusha viongozi kujichukulia hatua…

Continue Reading....

Feri ya zama India watu 103 wafariki

Posted on: May 2, 2012May 2, 2012 - jomushi
Feri ya zama India watu 103 wafariki

Takriban watu 103 wanahofiwa kufariki baada ya feri walimokuwa wakisafiria kugongwa na dhoruba Kaskazini Mashariki mwa India. Polisi wamethibitisha taarifa hiyo. Taarifa zinasema kuwa feri…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari