Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,858

Author: jomushi

Rufani ya African Lyon kujadiliwa Mei 2, TFF yaipongeza Simba

Posted on: May 1, 2012 - jomushi
Rufani ya African Lyon kujadiliwa Mei 2, TFF yaipongeza Simba

*TFF yaipongeza Simba kwa ushindi wa 3-0 Na Mwandishi Wetu KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatarajia kukutana Mei 2…

Continue Reading....

Ngorongoro Heroes kwenda Sudan Mei 2

Posted on: May 1, 2012 - jomushi
Ngorongoro Heroes kwenda Sudan Mei 2

Na Mwandishi Wetu TIMU ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) inatarajia kuondoka Mei 2 mwaka huu kwenda Sudan kwa…

Continue Reading....

Wafanyabiashara wa mirungi waja na mbinu mpya

Posted on: May 1, 2012 - jomushi
Wafanyabiashara wa mirungi waja na mbinu mpya

Na Thomas Dominick, Musoma WAFANYABIASHARA wa Mirungi wemegundua mbinu mpya ya kusafirisha madawa hayo ya kulevya pamoja na dawa mbalimbali za Binadamu zilizopitwa na wakati…

Continue Reading....

Wanafamilia waandamana kuipinga Serikali ya Kijiji

Posted on: May 1, 2012May 1, 2012 - jomushi
Wanafamilia waandamana kuipinga Serikali ya Kijiji

Na Mwandishi Wetu, Arumeru WANAFAMILIA kutoka katika familia mbili tofauti kutoka Kata ya Engorora wilayani hapa jana waliandamana hadi ofisi za kijiji chao wakidai fedha…

Continue Reading....

Tanzania inahitaji Ukumbi wa kisasa wa mchezo wa masumbwi

Posted on: May 1, 2012May 1, 2012 - jomushi
Tanzania inahitaji Ukumbi wa kisasa wa mchezo wa masumbwi

Na Mwandishi wetu MCHEZO wa ngumi nchini Tanzania unazidi kushika kasi kutokana na kuchipuka kwa mabondia wengina mapromota ambao wanapigana katika kuwania mataji mbalimbali nje…

Continue Reading....

Shirikisho la Kisiasa ni dawa sahihi ya mtangamano EAC-Dk Sezibera

Posted on: May 1, 2012 - jomushi
Shirikisho la Kisiasa ni dawa sahihi ya mtangamano EAC-Dk Sezibera

Na Nicodemus Ikonko, EANA KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Dk. Richard Sezibera amesema Shirikisho la Kisiasa ni dawa (penincilini) sahihi kwa utulivu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari