Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,714

Author: jomushi

HOTUBA YA DK. JAKAYA KIKWETE, RAIS WA TANZANIA, KWA WANANCHI, JULAI 31, 2012

Posted on: August 1, 2012 - jomushi
HOTUBA YA DK. JAKAYA KIKWETE, RAIS WA TANZANIA, KWA WANANCHI, JULAI 31, 2012

HOTUBA YA DK. JAKAYA KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KWA WANANCHI, TAREHE 31 JULAI, 2012 Ndugu Wananchi; Naomba nianze kwa kuomba radhi…

Continue Reading....

Serikali haina uwezo kuwalipa walimu mishahara wanayotaka – Rais Kikwete

Posted on: August 1, 2012August 1, 2012 - jomushi
Serikali haina uwezo kuwalipa walimu mishahara wanayotaka – Rais Kikwete

Na Mwandishi Wetu WAKATI mgomo wa walimu umeingia siku ya tatu leo maeneo mbalimbali ya nchi, Rais Jakaya Kikwete amewataka walimu kuacha kitendo cha kuwazuia…

Continue Reading....

MAELEZO BINAFSI YA ZITTO ZUBERI KABWE DHIDI YA TUHUMA ZA RUSHWA

Posted on: August 1, 2012 - jomushi
MAELEZO BINAFSI YA ZITTO ZUBERI KABWE DHIDI YA TUHUMA ZA RUSHWA

Ndugu Waandishi, Nalazimika kukutana nanyi kutoa maelezo juu ya tuhuma zenye shinikizo la kisiasa zinazoelekezwa kwangu binafsi kwamba hata mimi nimeshiriki katika vitendo vya rushwa,…

Continue Reading....

Zitto aomba achunguzwe na vyombo vya dola kuhusu rushwa

Posted on: August 1, 2012 - jomushi
Zitto aomba achunguzwe na vyombo vya dola kuhusu rushwa

*Ni kuthibitisha tuhuma za rushwa dhidi yake MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (CHADEMA) amevitaka vyombo vya dola na mamlaka nyingine stahili zimchunguze dhidi ya…

Continue Reading....

TFF yatoa pongezi kwa uongozi mpya SIREFA

Posted on: July 31, 2012 - jomushi
TFF yatoa pongezi kwa uongozi mpya SIREFA

SHIRIKISHI la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linatoa pongezi kwa uongozi mpya wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Singida (SIREFA) uliochaguliwa katika uchaguzi…

Continue Reading....

Kocha Michelsen awaita 22 kuunda kambi ya COCA-COLA

Posted on: July 31, 2012 - jomushi
Kocha Michelsen awaita 22 kuunda kambi ya COCA-COLA

Na Mwandishi Wetu KOCHA wa timu za Taifa za vijana za Tanzania, Jakob Michelsen ameita wachezaji 22 kwa ajili ya michuano ya kimataifa ya Coca-Cola…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari