Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,715

Author: jomushi

Ikulu yatoa rambirambi kwa Askofu Peter Konki

Posted on: July 31, 2012 - jomushi
Ikulu yatoa rambirambi kwa Askofu Peter Konki

Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Kanisa la ELIM Pentekoste Tanzania, Askofu…

Continue Reading....

Sakata la rushwa kwa wabunge CCM yatoa tamko

Posted on: July 31, 2012 - jomushi
Sakata la rushwa kwa wabunge CCM yatoa tamko

*Yataka Chadema isipoto ukweli wa tuhuma CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimelaani juhudi zinazofanywa na baadhi ya wanasiasa na vyama vya siasa kujaribu kupotosha na kuuficha…

Continue Reading....

EAC yaahidi kukabiliana na uhalifu wa mitandao

Posted on: July 31, 2012 - jomushi
EAC yaahidi kukabiliana na uhalifu wa mitandao

Na James Gashumba, EANA-Arusha AFRIKA Mashariki inafuatilia kwa kasi utekelezaji wa juhudi za kudhibiti changamoto ya uhalifu wa njia za mtandao unaotumika mipakani na ambao…

Continue Reading....

Walimu mkoani Mara waahidi kuendeleza mgomo hadi kieleweke

Posted on: July 31, 2012 - jomushi
Walimu mkoani Mara waahidi kuendeleza mgomo hadi kieleweke

*Tarime wanafunzi waandamana kudai masomo Na Shomari Binda, Musoma CHAMA cha walimu Mkoa wa Mara (CWT) kimesema kitaendelea na mgomo ulioanza jana bila kikomo mpaka…

Continue Reading....

Hoja ya Serikali kulifungia Gazeti Mwanahalisi

Posted on: July 31, 2012 - jomushi
Hoja ya Serikali kulifungia Gazeti Mwanahalisi

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imelifungia kutochapishwa gazeti la MwanaHalisi kuanzia 30 Julai, 2012 kwa muda usiojulikana kutokana na mwenendo wake wa kuandika…

Continue Reading....

Majeshi wa Serikali, waasi yapambana kuupigania Mji wa Allepo

Posted on: July 31, 2012 - jomushi
Majeshi wa Serikali, waasi yapambana kuupigania Mji wa Allepo

MAPAMBANO ya kuuwania Mji wa Allepo baina ya vikosi vya Serikali na waasi yamezidi kupamba moto huko Syria, ambapo sasa waasi wamekiteka kituo muhimu cha…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari