MKUU wa wilaya ya Arusha, Fadhili Nkurlu ameitaka Halmashauri ya Jiji hilo kutenga maeneo maulumu ya kuwawezesha wafanyabiashara wenye ulemavu kufanya shughuli za kujiingizia kipato…
Continue Reading....Tag: Walemavu
Rais Dk Pombe Magufuli Awakuna Walemavu, Wampongeza
Na Skolastika Tweneshe na Nyakongo Manyama, Maelezo SHIRIKISHO la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) limempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.…
Continue Reading....CHAVITA Yasikitikia Ushiriki Mdogo wa Viziwi Uchaguzi Mkuu
Na Zawadi Msalla CHAMA Cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) kimesikitishwa na kitendo cha ushiriki mbovu wa Viziwi katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika mwishoni mwa mwezi Oktoba kote…
Continue Reading....StarTimes Yasaidia Watoto Shule ya Walemavu wa Akili Airwing
Kutoka kulia ni wafanyakazi wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Bi. Elena Liu na Paulina Kaka wakifurahia jambo pamoja na Mwalimu wa Shule ya Msingi ya…
Continue Reading....Walemavu Wafunga Barabara ya Kawawa Dar, Shughuli Zasimama
WAFANYABIASHARA ndogondogo wenye ulemavu eneo la Mchikichini, Karume jijini Dar es Salaam wamefunga barabara kwa zaidi ya saa nne wakishinikiza kuonana na Mkuu wa Mkoa…
Continue Reading....Kituo cha Walemavu cha Buhangija Chaomba Zahanati…!
Na Mwandishi Wetu, Shinyanga MKUU wa Wilaya ya Shinyanga Anne Rose Nyamubi ameomba jamii ya Watanzania kusaidia kupatikana kwa Zahanati katika Kituo cha kulelea watoto…
Continue Reading....