Mhandisi Mkuu wa Uendeshaji kutoka kituo cha kuzalisha umeme kwenye bwawa la Mtera, Julius Chomolla akitoa maelezo kuhusu kipimo cha kuonyesha maji yamejaa katika eneo…
Continue Reading....Category: Matukio Katika Picha
Mh. Pinda alivyotembelea maonyesho ya Wizara ya Nishati na Madini Bungeni Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa Fundi Sanifu Bi Jemina Sadatale kutoka Mradi wa Umeme Jua wa KKKT Mpwapwa unaofadhiliwa na Wakala…
Continue Reading....MKUTANO WA NAPE MJINI MBEYA WAFUNIKA, SITTA, SENDEKA, DK. MWAKYEMBE NA PROF MWAKYUSA WAMPA TAFU YA NGUVU
Wabunge wa mkoa wa Mbeya, Sitta na Nyarandu wakimuongoza Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye kuingia uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya kwenye mkutano wa…
Continue Reading....Makamba na Shekifu, uso kwa uso Bungeni!
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Januari Makamba akizungumza jambo na kusalimiana na Mbunge wa Jimbo la Lushoto Henry Shekifu mara…
Continue Reading....Matukio Mkutano wa Wahariri Arusha uliodhaminiwa na SBL
Katibu wa Jukwaa la Wahariri nchini (TEF), Boniface Meena (katikati) akizungumza jambo na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Teddy Mapunda…
Continue Reading....Mkutano wa wahariri Arusha waanza
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Teddy Mapunda aliyesimama akizungumza katika mkutano wa wahariri mjini Arusha jana. Kutoka kulia ni Mwenyekiti…
Continue Reading....