KUNDI la Ngoma Africa Band aka ‘FFU’ Ughaibuni, linatarajiwa kuendelea kumwaga burudani zake Ulaya na safari hii ni kwa mashabiki wa mjini Tuttlingen, show itakayofanyika…
Continue Reading....Category: Burudani
Mwanamitindo, Asya Idarus, ndani ya jiji la North Carolina kwa maonyesho ya mavazi,usiku wa UTNC gala Night.
September 3, siku ambayo watanzania wa North Carolina watakuwa kwenye shamra shamra za siku nzima. Unashauri wa uitengee ngoma yake siku hii ambayo itaanza asubuhi…
Continue Reading....‘FFU’ Ngoma Africa Band kutingisha Jukwaa la Afrika Festival, Ujerumani Agosti 20
BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya “Ngoma Africa Band” aka FFU, wanatalajia kutumbuiza katika onesho lingine kubwa la wazi mjini Aschweiler, nchini Ujerumani.…
Continue Reading....Jukwaa la FFU lavamiwa na mashabiki!
FRANKFURT, UJERUMANI JUMAMOSI iliyopita mambo yalikuwa ni moto, ‘asiye na mwana abebe jiwe’, katika tamasha la Afro-karibik, Robstock park, Frankfurt, nchini Ujerumani. Pata shika la…
Continue Reading....