Category: Burudani
Ngoma Africa band yafunika Steinhude meer, Hannover!
WAKALI wa muziki wa dansi barani Ulaya ‘Ngoma Africa Band aka FFU wamevunja rekodi kwa kulitingisha onesho lingine kubwa la Afrika Markt fest, lililofanyika Jumamosi…
Continue Reading....Gwaride la ‘FFU’ kuendelea Markt, Steinhude!
FFU wa Ngoma Africa Band wanatarajia kutingisha Jukwaa la Afrika Markt, Steinhude, Ujerumani. Bendi hiyo maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya (Ngoma Africa Band)…
Continue Reading....Twanga Pepeta yakonga mashabiki Mango Garden
BENDI maarufu ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta jana iliwaburudisha wapenzi na mashabiki wa bendi hiyo katika onesho lililofanyika Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni…
Continue Reading....Wakali wa taarab watimkia kundi jipya la ‘T’ Moto ‘Real Madrid’
*Mtoto wa Salmini afanya kufuru, abomoa makundi ya jahazi na five star *Asema kundi hilo ni kama ‘Real Madrid’ *Kutambulishwa na Aliyeniumba Hajanikosea MTOTO wa…
Continue Reading....