Tarehe 18 Julai, 2012, majira ya alasiri kumetokea ajali ya kuzama kwa meli ya MV SKAGIT katika eneo la Chumbe, Zanzibar. Meli hiyo iliyokuwa ikitokea…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Bunge lapokea taarifa ajali ya Mv. Sky Get, abiria 113 hawajulikani walipo
Na Mwandishi Wetu, Dodoma BUNGE la Tanzania muda mfupi limepokea taarifa fupi ya ajali ya Meli ya Mv. Sky Get iliyotokea jana eneo la Chumbe…
Continue Reading....Mama wa mwanafunzi aliyeshindwa kujiunga na sekondari Handeni afariki dunia
Na Joachim Mushi, wa dev.kisakuzi.com MAMA wa mwanafunzi Mwenjuma Magalu aliyechaguliwa kujiunga na Shule ya Sekondari Komnyang’anyo wilayani Handeni na kushindwa kujiunga na shule hiyo…
Continue Reading....Waliokufa hadi sasa ajali ya Mv. Sky Get wafikia 31, wengi waokolewa
Na Mwandishi Wetu IDADI ya maiti zilizopatikana hadi sasa katika ajali ya meli ya Mv. Sky Get iliyozama jana mchana eneo la Chumbe nje kidogo…
Continue Reading....Mnyika ahojiwa na Polisi Singida, atoa maelezo ya kurasa 12
Na Mwandishi Wetu, Singida MBUNGE wa Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amehojiwa na Jeshi la Polisi…
Continue Reading....JK amteua Dkt Wilbald Lorri kuwa Msaidizi masuala ya lishe
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Wilbald Lorri kuwa Msaidizi wa Rais, Masuala ya Lishe (Nutrition). Taarifa iliyotolewa Jumatano,…
Continue Reading....