Umoja wa watanzania waishio nchini Ujerumani unatoa mkono wa pole na rambirambi kwa ndugu jamaa na marafiki wote waliopatwa na maafa kutokana na ajali ya…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Serikali kufunga kambi za wakimbizi wa Burundi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema Serikali itahakikisha kambi za wakimbizi wa Burundi katika Tanzania zinafungwa na wakimbizi wanarudi kwao kwa sababu hawana tena sababu ya…
Continue Reading....JK-Haikubaliki kwa mjamzito kupoteza maisha akijifungua
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa ni jambo lisilokubalika kwa mwanamke kupoteza maisha wakati akijifungua kwa sababu uja uzito siyo…
Continue Reading....Nimrod Mkono atimiza ahadi ya madawati sekondari ya Butuguri
MBUNGE wa Jimbo la Musoma Vijijini Nimroadi Mkono amekamilisha ahadi yake ya kupeleka Madawati mapya katika shule ya sekondari Butuguri baada ya kubainika kuwa madawati…
Continue Reading....