Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 480

Category: Habari za Nyumbani

Basi Lagonga Nyumba Lapinduka, 11 Wafariki Dunia, 44 Wajeruhiwa

Posted on: April 22, 2014 - jomushi
Post Tags: ajali, featured
Basi Lagonga Nyumba Lapinduka, 11 Wafariki Dunia, 44 Wajeruhiwa

WATU 10 wamekufa papo hapo na mwingine kupoteza maisha alipokuwa akipelekwa hospitali baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupata ajali mkoani Simiyu. Ajali hiyo ilitokea eneo…

Continue Reading....

Walemavu wa Viungo Wafarijiwa na Mke wa Rais

Posted on: April 21, 2014 - jomushi
Post Tags: Mama Salma Kikwete
Walemavu wa Viungo Wafarijiwa na Mke wa Rais

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi WATU wenye ulemavu wa viungo wametakiwa kutosikitika kwanini Mwenyezi Mungu aliwaumba hivyo na kujiona wanyonge bali wajione wako sawa na…

Continue Reading....

Kama Una Mpango wa Kuoa au Kuolewa, Lazima Usome Hii! Sehemu ya 2

Posted on: April 21, 2014 - Rungwe Jr.
Post Tags: kujamiina, Mahusiano, mapenzi, Ndoa
Kama Una Mpango wa Kuoa au Kuolewa, Lazima Usome Hii! Sehemu ya 2

          Juma lililopita tuliangalia masuala matanohttp://www.thehabari.com/habari-tanzania/kama-una-mpango-wa-kuoa-siku-moja-lazima-usome-hii , ambayo unatakiwa uzingatie kabla haujafanya maamuzi mazito ya kufunga ndoa na mpenzi wako. Leo…

Continue Reading....

Mama Kikwete Ahimiza Ulaji wa Dona kwa Wakazi Lindi

Posted on: April 20, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mama Salma Kikwete
Mama Kikwete Ahimiza Ulaji wa Dona kwa Wakazi Lindi

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi WAZAZI na walezi wameshauriwa kuwapa watoto uji na ugali wa unga wa dona na siyo sembe kwakuwa unga wa…

Continue Reading....

Polisi wa Kike Dar Atuhumiwa Kuiba Mtoto Mchanga Mbeya

Posted on: April 19, 2014 - jomushi
Post Tags: Askari Polisi Dar, featured
Polisi wa Kike Dar Atuhumiwa Kuiba Mtoto Mchanga Mbeya

POLISI wa kike anayefanya kazi Kituo cha Polisi Ilala, Dar es Salaam amekamatwa jijini Mbeya kwa tuhuma za kuiba mtoto mchanga wa siku saba, Goodluck…

Continue Reading....

Kikwete, TUCTA Wajadili Maslahi na Ustawi wa Wafanyakazi

Posted on: April 19, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Wafanyakazi
Kikwete, TUCTA Wajadili Maslahi na Ustawi wa Wafanyakazi

*Aagiza uundwaji mabaraza ya wafanyakazi utumishi wa umma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete Aprili 17, 2014, alifanya mazungumzo na majadiliano…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari