Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 388

Category: Habari za Nyumbani

Kila Mtanzania Kupata ‘Smart Phone’ Bei Karibu na Bure

Posted on: October 28, 2014October 28, 2014 - jomushi
Post Tags: Mtanzania, Smart Phone, Vietnam
Kila Mtanzania Kupata ‘Smart Phone’ Bei Karibu na Bure

KILA Mtanzania nchini atakuwa na uwezo wa kupata simu ya kisasa na yenye uwezo mkubwa (smart phone) kwa bei ya chini kabisa katika miaka mitano…

Continue Reading....

Dk Rose Migiro Awataka Wananchi Kuisoma Katiba Inayopendekezwa

Posted on: October 28, 2014October 28, 2014 - jomushi
Post Tags: Dk Rose Migiro, Mahafali, Sekondari ya WAMA Nakayama
Dk Rose Migiro Awataka Wananchi Kuisoma Katiba Inayopendekezwa

Na Magreth Kinabo, MAELEZO WANANCHI wameshauriwa kuisoma Katiba Mpya nayopendekezwa sura kwa sura na ibara baada ya ibara ili waielewe juu ya ufafanuzi wa masuala…

Continue Reading....

Ufaransa Yakubali Kuitangaza Zanzibar Kiutalii

Posted on: October 28, 2014 - jomushi
Post Tags: Ufaransa, Utalii, Zanzibar
Ufaransa Yakubali Kuitangaza Zanzibar Kiutalii

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar UFARANSA imeahidi kuitangaza Zanzibar kiutalii nchini mwake kupitia makampuni yake makubwa ya kitalii yaliopo nchini humo sambamba na kuendelea kuziunga…

Continue Reading....

Mfanyabiashara Arusha Ajiua kwa Risasi Tatu

Posted on: October 27, 2014 - jomushi
Post Tags: ajiua, Mfanyabiashara, risasi
Mfanyabiashara Arusha Ajiua kwa Risasi Tatu

MFANYABIASHARA wa Arusha anayemiliki kampuni ya Tanzania Bush Camp yenye kambi za watalii katika hifadhi za Serengeti mkoani Mara na Manyara iliyopo katika mikoa ya Arusha na Manyara,…

Continue Reading....

Watoto Walemavu Mahenge Wasaidiwa Baiskeli

Posted on: October 27, 2014 - jomushi
Post Tags: Baiskeli, Mahenge, Watoto Walemavu
Watoto Walemavu Mahenge Wasaidiwa Baiskeli

Na Mwandishi Wetu, Morogoro KAMPUNI ya Kibaran Resources inayojihusisha na utafiti wa uchimbaji wa madini ya Uno kwenye Kijiji cha Epanko, imetoa msaada wa baiskeli…

Continue Reading....

Tanzania Kuomba Mkopo Poland Ujenzi wa Maghala

Posted on: October 27, 2014 - jomushi
Post Tags: Maghala, Mkopo, Poland, tanzania
Tanzania Kuomba Mkopo Poland Ujenzi wa Maghala

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda amesema Serikali inaangalia uwezekano wa kupata mkopo wenye masharti nafuu kutoka Serikali ya Poland utakaoliongezea Taifa uwezo wa kuhifadhi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari