Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 389

Category: Habari za Nyumbani

Tanzania Yaomba Msaada wa Madaktari Kutoka China

Posted on: October 27, 2014 - jomushi
Post Tags: China, Madaktari, tanzania
Tanzania Yaomba Msaada wa Madaktari Kutoka China

*Yashukuru ujenzi hospitali ya magonjwa ya moyo TANZANIA imeiomba Jamhuri ya Watu wa China kuongeza idadi ya madaktari wake inaowatuma Tanzania kama msaada kutoa huduma…

Continue Reading....

Ukawa Wafanya ‘Kufuru’ Jangwani, Waikejeli Katiba Inayopendekezwa…!

Posted on: October 26, 2014October 29, 2014 - jomushi
Post Tags: Jangwani, Katiba Mpta, Ukawa, Wananchama wa vyama hivyo.
Ukawa Wafanya ‘Kufuru’ Jangwani, Waikejeli Katiba Inayopendekezwa…!

VYAMA vitatu vikuu vya upinzani vinavyounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) vimefanya mkutano mkubwa jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Jangwani…

Continue Reading....

Sefue: Serikali Kufanyiakazi Miradi ya BRN Sekta ya Afya

Posted on: October 25, 2014 - jomushi
Post Tags: BRN Sekta ya Afya, serikali
Sefue: Serikali Kufanyiakazi Miradi ya BRN Sekta ya Afya

  Na Mwandishi Wetu   KATIBU Mkuu Kiongozi Ikulu, Balozi Ombeni Sefue ameeleza kufurahishwa na miradi ya sekta ya afya inayopendekezwa kuingia katika Mpango wa…

Continue Reading....

Mke wa Rais wa China Ahaidi Kuisaidia Sekondari ya WAMA

Posted on: October 25, 2014 - jomushi
Post Tags: Wake wa Marais wa Tanzania na China, Wama
Mke wa Rais wa China Ahaidi Kuisaidia Sekondari ya WAMA

Na Anna Nkinda – Beijing, China MKE wa Rais wa China Mama Peng Liyuan ameahidi kutoa vifaa vya shule vikiwemo vya maabara pamoja na vitabu…

Continue Reading....

China ‘Yamwaga’ Mabilioni Miradi ya Maendeleo Tanzania

Posted on: October 25, 2014 - jomushi
Post Tags: China, Maendeleo Tanzania, Miradi
China ‘Yamwaga’ Mabilioni Miradi ya Maendeleo Tanzania

JAMHURI ya Watu wa China, Oktoba 24, 2014, imetangaza neema kubwa kwa Tanzania, ikiwa ni pamoja na kutoa dola za Marekani milioni 85 kwa ajili…

Continue Reading....

Jitihada za Pamoja Kigezo Kutokomeza Magonjwa Yasioambukizwa Tanzania

Posted on: October 25, 2014 - jomushi
Post Tags: Hospitali ya Apollo, Matibabu ya Upasuaji, tanzania
Jitihada za Pamoja Kigezo Kutokomeza Magonjwa Yasioambukizwa Tanzania

KUISHI ni jambo moja. Kuishi maisha yenye afya njema ni kitu kingine kabisa. Hakuna anaeweza kushuhudia juu ya ukweli huu zaidi ya wale wapatao adha…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari