Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 386

Category: Habari za Nyumbani

Pinda: BRN ni Nguzo ya Mageuzi Kiutendaji

Posted on: November 2, 2014 - jomushi
Post Tags: BRN, Pinda
Pinda: BRN ni Nguzo ya Mageuzi Kiutendaji

  Na Mwandishi Wetu   WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema kuwa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) ni chachu ya kuleta mageuzi katika utendaji na…

Continue Reading....

Sikiliza Hii Audio ya Prof. PLO Lumumba (Must listen)

Posted on: November 1, 2014November 2, 2014 - admin
Post Tags: Enter your zip code here

Professor Lumumba wa chuo kikuu cha Nairobi, akielezea namna viongozi wetu wa Africa hawafanyi kazi yao na namna gani sisi kama waafrika tumejisahau na kuendekeza…

Continue Reading....

Rais Kikwete Aongoza Mamia Kumuaga Meja Jenerali Aidan Mfuse

Posted on: November 1, 2014November 1, 2014 - jomushi
Post Tags: JWTZ, Meja Jenerali Mfuse, Rais Kikwete
Rais Kikwete Aongoza Mamia Kumuaga Meja Jenerali Aidan Mfuse

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete leo, Novemba Mosi, 2014, ameongoza waombolezaji kuaga mwili wa Meja Jenerali Aidan Isidori Mfuse kwenye Hospitali…

Continue Reading....

JK Atuma Rambirambi Kifo cha Mtangazaji Ben Kiko

Posted on: November 1, 2014 - jomushi
Post Tags: Ben Kiko, Mtangazaji, Rambirambi
JK Atuma Rambirambi Kifo cha Mtangazaji Ben Kiko

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Dk. Fenela Mukangara…

Continue Reading....

Je, Wanawake ni Mabingwa wa Kuzuga Kitandani?

Posted on: October 31, 2014November 1, 2014 - admin
Post Tags: Mahusiano, mapenzi, wanawake
Je, Wanawake ni Mabingwa wa Kuzuga Kitandani?

  KAMA wewe ni mwanaume, basi bila shaka unafahamu ile milio na miguno ya wanawake wakati wa kujamiiana, na kama wewe ni mwanamke pia unafahamu…

Continue Reading....

JK Awapasulia Watumishi wa Umma Tanzania

Posted on: October 30, 2014 - jomushi
Post Tags: JK, tanzania, Watumishi wa umma
JK Awapasulia Watumishi wa Umma Tanzania

Na Mwandishi Maalum, RAIS Jakaya Kikwete amewataka watumishi wa umma nchini kubadilika katika utendaji wao ili kuwa wawezeshaji zaidi badala ya wakwamishaji katika kutoa maamuzi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari