Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 269

Category: Habari za Nyumbani

Helikopta ya Nyarandu Yanogesha Kampeni za Mgombea Mwenza CCM

Posted on: August 30, 2015August 31, 2015 - jomushi
Helikopta ya Nyarandu Yanogesha Kampeni za Mgombea Mwenza CCM

Na Joachim Mushi, Singida MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini anayeomba kuchaguliwa tena, Lazaro Nyarandu amenogesha kampeni za mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi…

Continue Reading....

BOA Tanzania Yakusanya Zaidi Milioni 210 Kusaidia Watoto Waliozaliwa na Miguu Iliyopinda

Posted on: August 30, 2015 - jomushi
BOA Tanzania Yakusanya Zaidi Milioni 210 Kusaidia Watoto Waliozaliwa na  Miguu Iliyopinda

  Mkurugenzi Mkuu wa Bank of Africa nchini Bw. Ammishadai Owusu-Amoah akimkabidhi Ofisa Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCBRT mfano wa hundi wenye ya dola za…

Continue Reading....

Bunge la Watoto Manyara Lafanikiwa Kuwarudisha Yatima Shuleni

Posted on: August 30, 2015 - jomushi
Bunge la Watoto Manyara Lafanikiwa Kuwarudisha Yatima Shuleni

  Abdallah Waziri – ambaye ni mmoja wa watoto wa mitaani aliyerudishwa shule kwenye kikao cha leo. Abdallah Waziri, Asia Mtibua na Mwalimu Gaudensia Igoshalimo…

Continue Reading....

MSD Yazindua Rasmi Taarifa ya Mwaka 2013/2014

Posted on: August 30, 2015 - jomushi
MSD Yazindua Rasmi Taarifa ya Mwaka 2013/2014

     Kaimu Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa MSD, Johnson Mwakalitolo, akizungumza katika uzinduzi huo.  Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya MSD, Profesa…

Continue Reading....

CCM Kuondoa Kodi za Hovyo, Yaja na Elimu Bure Hadi IV

Posted on: August 30, 2015 - jomushi
Post Tags: Kampeni CCM
CCM Kuondoa Kodi za Hovyo, Yaja na Elimu Bure Hadi IV

Na Joachim Mushi, Mbulu MGOMBEA mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu amesema chama hicho kikichaguliwa na Watanzania kuunda Serikali tena kitahakikisha kinaweka…

Continue Reading....

Lowassa; Nikiingia Ikulu Elimu ni Bure Mpaka Chuo Kikuu

Posted on: August 29, 2015August 29, 2015 - jomushi
Lowassa; Nikiingia Ikulu Elimu ni Bure Mpaka Chuo Kikuu

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WAKATI moto wa kampeni za Uchaguzi Mkuu ukipamba moto mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari