Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez (katikati) akiongozana na Naibu…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Wachina Wanne Wahukumiwa kwa Kuihujumu Tanzania
Watuhumiwa wakifikishwa mahakamani . Pembe za Faru walizo kamatwa nazo watuhumiwa hao wanne rai wa China katika Mpaka wa Kasumulu Kyela. Na Ezekiel Kamanga,…
Continue Reading....Serikali Kugawa Bure Dawa za Trakoma, Matende, Mabusha na Ngiri
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Donan Mmbando akieleza kuhusu Mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi…
Continue Reading....Mume Amuua Mke kwa Panga na Kujinyonga
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi. KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida mwanaume mmoja Mkazi wa kijiji cha Malolo Ndugu Chipunguli Mkisi (30) amemuua mke wake…
Continue Reading....MO Dewji Foundation Yatoa Milioni 110 Kusaidia Watoto Wagonjwa wa Kansa
Meneja Mwendeshaji wa Taasisi ya MO Dewji, Francesca Tettamanzi (kulia) akitoa neno la ukaribisho kwa uongozi wa Taasisi ya Tumaini la Maisha inayohudumia watoto wenye…
Continue Reading....Waziri Kairuki Kutafuta Changamoto na Watumishi
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora, Anjella Kairuki (Mb) amesema atakaa na Watumishi katika ofisi zao ili kubaini changamoto zinazowakabili na kuzitatua.…
Continue Reading....