Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 407

Author: jomushi

JovagoTanzania- Hali ya Uchumi Dhidi ya Sekta ya Utalii,

Posted on: September 11, 2015 - jomushi
JovagoTanzania- Hali ya Uchumi Dhidi ya Sekta ya Utalii,

Kutokana na mapitio ya kiuchumi yaliyofanyika na (B.O.T) Benki ya Tanzania, inaonyesha uchumi umeongezeka kutoka 5.1% kwa mwezi Mei mpaka 6.1% mwishoni mwa mwezi Juni…

Continue Reading....

Jaji Warioba Ainadi CCM Butiama, Asema Imefanya Mengi…!

Posted on: September 11, 2015September 11, 2015 - jomushi
Jaji Warioba Ainadi CCM Butiama, Asema Imefanya Mengi…!

 Waziri Mkuu Mstafu Jaji Joseph Sinde Warioba akihutubia wakazi wa Butiama ambapo aliwaeleza Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. WAZIRI Mkuu mstaafu Jaji Joseph…

Continue Reading....

Serikali ya CCM Kuibadili Bagamoyo Kiuchumi, Kujenga bandari ya Uvuvi

Posted on: September 11, 2015 - jomushi
Post Tags: Kampeni CCM
Serikali ya CCM Kuibadili Bagamoyo Kiuchumi, Kujenga bandari ya Uvuvi

Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni za CCM uliohutubiwa na mgombea mwenza wa chama hicho wa nafasi ya urais, Bi. Samia…

Continue Reading....

Dk. John Magufuli na Mkutano wa Hadhara Lushoto

Posted on: September 10, 2015 - jomushi
Dk. John Magufuli na Mkutano wa Hadhara Lushoto

    Msafara wa Mgombea Urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli ukiwasilia katika mkutano wa hadhara wa kampeni, Korogwe vijijini. MGOMBEA urais kwa teketi…

Continue Reading....

NCCR-Mageuzi Yazinduwa Kampeni za Uchaguzi

Posted on: September 10, 2015September 10, 2015 - jomushi
NCCR-Mageuzi Yazinduwa Kampeni za Uchaguzi

Baadhi ya wananchi katika kata ya Kifula ,jimbo la Mwanga wakifuatilia uzinduzi wa mkutano wa kampeni wa chama cha NCCR-Mageuzi. Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi…

Continue Reading....

Uchaguzi Mkuu; ZEC Yatakiwa Kushirikiana na NEC

Posted on: September 10, 2015 - jomushi
Post Tags: NEC na ZEC
Uchaguzi Mkuu; ZEC Yatakiwa Kushirikiana na NEC

TUME za Uchaguzi katika Jumuia ya Africa Mashariki zimetakiwa kushirikiana na kutoa ushirikiano kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) na Tume ya Uchaguzi Zanziba (ZEC)…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari