Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 386

Author: jomushi

Tanzania Yaongoza Duniani Kutoa Huduma za Pesa kwa Simu

Posted on: September 29, 2015 - jomushi
Post Tags: Money
Tanzania Yaongoza Duniani Kutoa Huduma za Pesa kwa Simu

TANZANIA ni nchi ya kwanza duniani kutoa huduma za pesa, kutoa mikopo na kutoa riba kwa kutumia mawasiliano ya simu, Benki ya Dunia imesema na…

Continue Reading....

Mama Samia Suluhu; Mgombea Mwenza Aliyepanga Kuwapigania Wanawake

Posted on: September 29, 2015September 29, 2015 - jomushi
Post Tags: Siasa
Mama Samia Suluhu; Mgombea Mwenza Aliyepanga Kuwapigania Wanawake

Na Joachim Mushi, dev.kisakuzi.com MCHUANO wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaotarajia kufanyika Oktoba 25, 2015 unaendelea maeneo mbalimbali ya nchini, huku vyama anuai…

Continue Reading....

Mgomo Kenya; Walimu Waigomea Mahakama…!

Posted on: September 28, 2015 - jomushi
Post Tags: Kenya
Mgomo Kenya; Walimu Waigomea Mahakama…!

UFUNDISHAJI masomo anuai katika shule za umma nchini Kenya umekwama licha ya amri ya mahakama ya kuwataka walimu ikilazimisha warejee shuleni Jumatatu. Mgomo wa walimu…

Continue Reading....

Maoni ya Wanawake Wajasiliamali Dhidi ya Serikali ya Rais Kikwete na Ijayo (2)

Posted on: September 28, 2015 - jomushi
Post Tags: Wajasiliamali
Maoni ya Wanawake Wajasiliamali Dhidi ya Serikali ya Rais Kikwete na Ijayo (2)

WATANZANIA wenye sifa za kupiga kura wanatarajia kupiga kura Oktoba 25 katika Uchaguzi Mkuu kuchagua viongozi ambao wataunda Serikali ya awamu ya tano na kuliongoza…

Continue Reading....

Magufulika Staili Yaendelezwa na Bongo Movie Iringa…!

Posted on: September 28, 2015 - jomushi
Post Tags: Kampeni CCM
Magufulika Staili Yaendelezwa na Bongo Movie Iringa…!

Baadhi ya Wasanii nyota wa Filamu hapa nchini wakiongozwa na Jacob Steven a.k.a JB wakiwa wamenyanyua juu mikono yao kwa pamoja ni Ushindi sambamba na…

Continue Reading....

CHADEMA ya Ukawa Yamnadi Lowassa Mkoani Tanga

Posted on: September 28, 2015 - jomushi
Post Tags: Chadema
CHADEMA ya Ukawa Yamnadi Lowassa Mkoani Tanga

Wananchi wa Mji wa Soni katika Jimbo la Bumbuli, wakimlaki kwa shangwe Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari