Rais mpya wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli akionesha mkuki na ngao kama ishara ya mamlaka mara baada ya kula kiapo leo katika Uwanja…
Continue Reading....Author: jomushi
Kombe la Shirikisho Kuanza Novemba 8
MICHUANO ya Kombe la Shirikisho ya Azam Sports inafunguliwa rasmi Novemba 8, 2015 kwa mechi tatu zitakazochezwa kwenye viwanja vitatu tofauti. Mechi rasmi ya ufunguzi…
Continue Reading....Ujerumani Waipiga ‘Tafu’ Tanzania, Yatoa Euro milioni 158.5
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yasaini mkataba wa jumla ya Euro milioni 158.5 na Serikali ya Ujerumani wenye lengo la kusaidia Bajeti ya…
Continue Reading....Pinda Afungua Mkutano wa Majaji wa Haki za Binadamu Afrika
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema Serikali ya Tanzania imepania kuboresha upatikanaji wa haki kwa raia kwa kusogeza huduma za mahakama karibu na wananchi. “Tumeusaidia mhimili…
Continue Reading....Mtoto wa Dk Kigoda Sasa Rasmi Mgombea Ubunge Handeni
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Omary Abdallah Kigoda ambaye ni mtoto wa marehemu Dk. Abdallah Kigoda kuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Handeni Mjini. Omary…
Continue Reading....Nimapumziko ya Kiapo cha Rais…!
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ameamua na ameitangaza, Novemba 5, mwaka huu, 2015, kuwa Sikukuu na siku ya mapumziko.…
Continue Reading....