Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,228

Author: jomushi

Jalada la Chenge utata mtupu

Posted on: July 27, 2011 - jomushi
Jalada la Chenge utata mtupu

Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge HATIMA ya jalada la uchunguzi dhidi ya Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge, bado ni kizungumkuti, baada ya Mkurugenzi…

Continue Reading....

Umeme waligawa baraza la mawaziri

Posted on: July 27, 2011July 27, 2011 - jomushi
Umeme waligawa baraza la mawaziri

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda *WANYOSHEANA VIDOLE KUMTAFUTA MCHAWI KAULI tofauti zinazotolewa na viongozi wa Serikali, akiwamo Rais Jakaya Kikwete na baadhi ya mawaziri kuhusu suala…

Continue Reading....

Maadui wa Serikali si Chadema, niwatendaji-Lusinde

Posted on: July 27, 2011 - jomushi
Maadui wa Serikali si Chadema, niwatendaji-Lusinde

Livingstone Lusinde Dodoma MBUNGE wa Mtera, Livingstone Lusinde (CCM), amewalipua watendaji wa umma kwa kueleza kuwa ndiyo maadui wakubwa wa Serikali na siyo Chama cha…

Continue Reading....

Ratiba kamili ya Taifa Ngazi ya Taifa Fainali – 2011

Posted on: July 27, 2011 - jomushi
Ratiba kamili ya Taifa Ngazi ya Taifa Fainali – 2011

Kupata ratiba kamamili ya Taifa Ngazi ya Taifa Fainali – 2011, tafadhali bofya hapa; Ratiba ya Taifa Ngazi ya Taifa Fainali – 2011 xx

Continue Reading....

RHINO SPORTS YAUZWA MBEYA

Posted on: July 27, 2011 - jomushi
RHINO SPORTS YAUZWA MBEYA

Halmashauri ya Jiji la Mbeya (Mbeya City Council) imeinunua timu ya daraja la kwanza ya Rhino Sports Club ya Arusha. Hivyo timu hiyo sasa makao…

Continue Reading....

MTIHANI WA UWAKALA WA FIFA IJUMAA

Posted on: July 27, 2011 - jomushi
MTIHANI WA UWAKALA WA FIFA IJUMAA

Logo ya FIFA MTIHANI wa Uwakala wa Wachezaji wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) utafanyika Septemba 29 mwaka huu. Mtihani huo utakaokuwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari