Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,227

Author: jomushi

Dk. Bilal aongoza mamia kumzika Prof. Samuel Mushi

Posted on: July 27, 2011July 27, 2011 - jomushi
Dk. Bilal aongoza mamia kumzika Prof. Samuel Mushi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya marehemu Profesa, Samuel Mushi, aliyefariki…

Continue Reading....

Meneja Mkuu UDA amlipua Massaburi

Posted on: July 27, 2011 - jomushi
Meneja Mkuu UDA amlipua Massaburi

Didas Massaburi Na Mwandishi Wetu SIKU moja baada ya Meya wa Jiji la Dar es Salaam Dk. Didas Massaburi kutoa madai ya kusimamishwa kazi kwa…

Continue Reading....

Rais Kikwete amtumia Rage salaam za rambirambi

Posted on: July 27, 2011July 28, 2011 - jomushi
Rais Kikwete amtumia Rage salaam za rambirambi

Ismail Aden Rage Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mwenyekiti wa Klabu ya Soka ya…

Continue Reading....

Mgomo wa daladala Arusha wamalizika

Posted on: July 27, 2011July 27, 2011 - jomushi
Mgomo wa daladala Arusha wamalizika

Na Janeth Mushi, Arusha HATIMAYE mgomo wa daladala uliodumu kwa siku mbili mfululizo katika jiji la Arusha umeisha jana na huduma hiyo ya usafiri kuanza…

Continue Reading....

Breaking News: Mbunge wa Chadema atolewa bungeni

Posted on: July 27, 2011July 27, 2011 - jomushi
Breaking News: Mbunge wa Chadema atolewa bungeni

Mbunge Wenje Dodoma, HABARI zilizotufikia muda huu kutoka bungeni mjini Dodoma ni kwamba; Mbunge wa Ilemela kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),…

Continue Reading....

Picha mbalimbali za mazishi ya Danny Mwakiteleko Mbeya

Posted on: July 27, 2011July 27, 2011 - jomushi
Picha mbalimbali za mazishi ya Danny Mwakiteleko Mbeya

Mkuu wa Wilaya ya Rungwa Jackson Msome alikuwa mmoja wa viongozi waadamizi wa Serikali waliohudhuria ibada ya mazishi. Pichani Mkuu wa Wilaya hiyo akitoa heshima…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari